Habari za leo ndugu zangu.
Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry, reconciliation, sales & stock reporting.
Natafuta fursa ya ajira katika maeneo ya Accounting, Finance, Sales, Administration au Operations, pia niko tayari kujifunza na kukua katika nafasi nyingine zinazohusiana kwa ajili ya kukua na kupanua mawazo zaidi.
Asanteni, naomba mnisaidie kunielekeza au kunipatia taarifa za nafasi husika.