Unachojua ni utopolo, watu waliwahi kuiba stuli ya kuwekea mwenge usiku. JPM alitumia maguvu kuliko akili takati wa kudhibiti utoroshwaji wa tanzanite. Sasa hivi ndo inaibiwa na kuuzwa kwenye soko jeusi kuliko kawaida.Ninachojua mimi na ripoti zilizopo India sio mzalishaji namba moja tena wa tanzanite duniani na uzalishaji wa tanzanite Kenya umeshuka kwa kiwango kikubwa sana.
Mkuu huwa unajishughulika hata kidogo kusoma taarifa na ripoti mbalimbali? Ebu pitia basi na zinazohusu tanzanite uwe na knowledge kidogo ya kitu unachojadili.Unachojua ni utopolo, watu waliwahi kuiba stuli ya kuwekea mwenge usiku. JPM alitumia maguvu kuliko akili takati wa kudhibiti utoroshwaji wa tanzanite. Sasa hivi ndo inaibiwa na kuuzwa kwenye soko jeusi kuliko kawaida.
Nilipata sema hivi wakati wanajenga huo ukuta.Kwani hao wajeda watakuwepo kila mahali na kila wakati? Huo ukuta una - cover eneo gani la mraba? Kama ni dogo sana hilo eneo, hapo sawa. Ulinzi wa maliasili unaanzia katika kitu wazungu wanaita mindset, na siyo kwenye kujenga kuta.
Jitahidi kuelewa, umeambiwa madini yanatoroshwa, kuna statement hapo inasema India ni mzalishaji no 1?Ninachojua mimi na ripoti zilizopo India sio mzalishaji namba moja tena wa tanzanite duniani na uzalishaji wa tanzanite Kenya umeshuka kwa kiwango kikubwa sana.
Ndiyo maana alimweka Mnyeti ManyaraJiwe alijenga l
Sina jinsi ya kukuelewesha kama hukunielewa.Jitahidi kuelewa, umeambiwa madini yanatoroshwa, kuna statement hapo inasema India ni mzalishaji no 1?
Hata mimi najua hili mkuu. Jiwe kwenye madini alifanya kazi ya maana sana.Ninachojua mimi na ripoti zilizopo India sio mzalishaji namba moja tena wa tanzanite duniani na uzalishaji wa tanzanite Kenya umeshuka kwa kiwango kikubwa sana.