Habari za leo wana mmu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimekuwa nasumbuliwa na hili tatizo kwa mfululizo. Kwanza niweke wazi kuwa sijaoa, na kipindi cha nyuma nilikuwa napata hzi ndoto ambazo kitaalam wanaita wet dream kawaida, ila zilikuwa zinatokea kwa nadra sana. Sasa tangu week ijayo nimekuwa naota kwa mfululizo hadi jana usiku n siku ya tano naota hyo ndoto na unajikuta umejaculate. Na namuota same person kila siku naombeni ushauri wenu wataalam wa hii kitu.
Sawa mkuu lakini sasa ingetokea mara moja, ninachoshangaa ni kuwa nikilala tu kabla usingiz hujakolea najikuta niko nae na huwa naejaculate kwa siku tano mfululizo hapo sasa inakuwaje?Kama wewe ni wakiume, una umri kati ya amiaka 15 - 25, na unayemwota unampenda au kumtamani etc, then huitaji ushauri wowote, toa mawazo ya ngono!
Sawa mkuu lakini sasa ingetokea mara moja, ninachoshangaa ni kuwa nikilala tu kabla usingiz hujakolea najikuta niko nae na huwa naejaculate kwa siku tano mfululizo hapo sasa inakuwaje?
Owke nashukuru kwa ushauri wako mkuuWe ni kijana, unakula, so ni kawaida, nilipokuwa na umri wako mimi nilikuwa naota ila sikuwa na mwanamke au kumuwaza yeyote, hata week nzima yaweza nitokea, usitafute mchawi wala kulogwa, that is health ... hemu fanya mazoezi leo ya kukimbia uchoke sana sana, oga lala kama utaota ... hakikisha unachoka na ufikirii hayo mambo ya ngono kabisa!!!!!! ninachokizungumza nakipa 95%, ngoja niacha 5% za dodubt tu!
Piga maombi mkuu ...Habari za leo wana mmu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema,
Nimekuwa nasumbuliwa na hili tatizo kwa mfululizo. Kwanza niweke wazi kuwa sijaoa, na kipindi cha nyuma nilikuwa napata hizi ndoto ambazo kitaalam wanaita (wet dream) kawaida, ila zilikuwa zinatokea kwa nadra sana.
Sasa tangu week iliyopita nimekuwa naota kwa mfululizo hadi jana usiku ni siku ya tano naota hiyo ndoto na unajikuta umejaculate. Na namuota same person kila siku, naombeni ushauri wenu wataalam wa hii kitu.
Na namuota same person kila siku,
Mkuu nashukuru, issue yenyewe iko hvi, nilikuwa nina mpenz ambae alikuwa hatufanyi mapenz kabisa, ila tunalala kitanda kimoja na tunafanya tu romance ila alikuwa haruhusu mapenz. Basi tukazinguana ikawa ananiambia haniwezi tena, kiukweli nilimpenda sana, ikabidi nifunge siku nne kumuomba Mungu na kusali sana ili anipe nguvu ya kuhimili kuachwa. Sasa katika kufunga ilipofika siku ya tatu ya mfungo nikamuota tunafanya romance hadi nikaejaculate. Ikaendelea siku ya pili hvyohvyo hadi siku ya tano ambayo n jana usiku naota ndoto hyohyo na mtu huyohuyo. Kwakweli hapo ndo napata wakati mgumu sana.Pole sana......
Ndoto hizo huwa mara nyingi zinavutwa na vitu vingi hivi vimojawapo
1. Unatazama nini wakati wako wote mf Music video zenyewe uamsho wa kingono, Pornography
2.Nguo unazozivaa kuna nyingine zina alama au nembo zenye kuvuta mapepo ya mahaba yakakuingia
3.Chunguza aina ya marafiki zako hasa tabia zao Law of Proximity kwa wanasaikolojia na Soul ties kwa wanatheolojia
4.Kama kuna sehemu ulilala labda hotelini au guest house au gheto kwa marafiki pasipo kufahamu kama kuna watu walishiriki uzinzi au uasherati sehemu hiyo na wewe ulilalia mashuka hayo hapo utaondoka tu na mapepo hayo
5.Au labda mienendo ya kitabia kama inashahabiana na matendo hayo ni rahisi sana kuzivuta roho hizo zikakuingia.
N.b Wet Dream zipo lakini for your Case its abnormality ni case ya Kiroho hata Mwanasaikolojia hawezi kukusaidia Mtafute Mungu sababu hiyo roho ni kikwazo sana utakapokuja oa. na inaleta sana mikosi ya kupinga maendeleo yako na hata Baraka za Mungu