sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Unaweza kusoma vitabu vingi lakini vya kijinga nadhani kusoma kuzuri ni kuchagua vitabu vyenye insight na vya wenye akili kukuzidi pamoja na non fiction books
Mkuu jiwekee utaratibu walau dakika kumi tu kwa siku za kusoma, Kuanzia hapo unaweza ukaongeza.Mimi mvivu sana wa kusoma. Msaada mnafanyaje wenzangu kusoma vitabu 10 kwa mwaka?
Mimi hata kimoja kwa mwaka sijawahi.
Ila nataka kubadilika...
Nasoma sana... All those 5 books in Rich Dad Poor Dad series nimekamua..na vingine vingi zaidi ya 100 ukiachilia mbali Fictions na fairy tales pia makala mbalimbali na journals pamoja na biography mbalimbali. Si hivyo tu kila nikiskia burning issue nachofanya nikutafuta vitabu vyake na kusoma...mfano forex nimesoma vitabu zaidi ya vitano, kwa sasa nasoma crptocurrency nimesoma bitcoin na altcoins kama tatu hivi,nakomaa zaidi na blockchain kwa sasa na soon ntakua blockchain developer baada ya kumaliza hashing na coding..uliza lolote nikujibu..kiufupi kujisomea mimi ni kaulevi. Na muda huu nimeingia jf baada ya kuchoka kusoma ''who moved my cheese-by Spencer Johnson'Kabla hujamuwazia mwingine kwa nini usijichunguze na kujisemea wewe! Hata kama ni kweli hasomi au hana utamaduni wa kujisomea haitakuongezea chochote mkuu! Na kwa comment yako, utakuwa hujamsaidia chochote zaidi ya kudhihirisha kiwango cha chuki na majungu ndani yako!
Nimejisikia tu kusema, si kwa nia mbaya!
By the way uzi mzuri sana huu!!
Asante sana mwandishi!
Hahaaahahahaha asante sana mkuu.. Nimeipenda reaction yako! Nina muda sijaitembelea hiyo site ngoja nifanye kuisoma!Nasoma sana... All those 5 books in Rich Dad Poor Dad series nimekamua..na vingine vingi zaidi ya 100 ukiachilia mbali Fictions na fairy tales pia makala mbalimbali na journals pamoja na biography mbalimbali. Si hivyo tu kila nikiskia burning issue nachofanya nikutafuta vitabu vyake na kusoma...mfano forex nimesoma vitabu zaidi ya vitano, kwa sasa nasoma crptocurrency nimesoma bitcoin na altcoins kama tatu hivi,nakomaa zaidi na blockchain kwa sasa na soon ntakua blockchain developer baada ya kumaliza hashing na coding..uliza lolote nikujibu..kiufupi kujisomea mimi ni kaulevi. Na muda huu nimeingia jf baada ya kuchoka kusoma ''who moved my cheese-by Spencer Johnson'
Karibu kwenye ulimwengu wa kujisomea na pakua vitabu vya kila aina kwenye www.pdfdrive.net
Hata kile unachodhania cha kijinga kuna cha kujifunza.Unaweza kusoma vitabu vingi lakini vya kijinga nadhani kusoma kuzuri ni kuchagua vitabu vyenye insight na vya wenye akili kukuzidi pamoja na non fiction books
Kasome vitabu vya kilimoDuuhh..., mkuu kazi yangu ni mkulima huo muda wa kukaa taupata wapi?
Hata kile unachodhania cha kijinga kuna cha kujifunza.Unaweza kusoma vitabu vingi lakini vya kijinga nadhani kusoma kuzuri ni kuchagua vitabu vyenye insight na vya wenye akili kukuzidi pamoja na non fiction books