Kusoma UDSM ni dhamana

Umepiga mule mule[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa st. Nani sijui vichuo gani watamwaga povu sana
 
Chuo ni kweli ina jina na umaarufu na reason kubwa kilichofanya iwe na jina sana ni kutangulia kwake na kweli ni chuo mama lakin kudhan utaajiriwa kisa umaarufu wa chuo na kujitapia chuo kwa zama hizi ambazo mkulima wa nyanya ana degree kwa sasa degree ni kama mafua mkuu sio kama zaman hizo mtu ukiwa na degree lazima utakuwa maarufu wilaya nzima wahitimu wa udsm kama wachache kama ww bado wanaishi karne ya 19 hase sifia lakin sio kwa wasomi wenzako humu labda kwenye vijiwe vya kahawa
 
hao hao waliotoka kwenye huo uhaba wa vifaa ndo wanapata hizo DD kisha wanabaguliwa kwenye hivyo vyuo pedwa hapa kwetu kisha tunawabeza tukijisifia wa UDSM not fair at all inasikitisha kiranja mkuu wa hii nchi ndo anaongiza huu ujinga yeye ndo wa kukemea lakini ndo anazua mijadala ya kijinga kwenye social media
 
Nilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.
Wewe kama mimi nimepiga ARU
Niliwafyekelea mbali wote kwenye interview,am proud ARU product
Na gpa inasoma vilevile
Na soon naenda kuwanoa madogo zao hapohapo Ud kwao
If you know you know
 


Kweli Mkuu. Hii kasumba inapaswa kufutwa. Sasa ikiwa mkuu wa nchi anajinadi vile unadhani kuna nini hapo
 
Acha kujifariji. Huezi amini. Kuna mwaka NMB walitangaza nafasi za kazi na sifa ya kwanza ilikuwa, lazima uwe umesoma IFM! I couldnt believe my eyes. Wanafunzi wa IFM walionekana ku shine NMB kuliko wale wa vyuo vingine!


Neno kuna mwaka tupatie tafsiri yake
 


Fact,
 
Nilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.


Wakati wewe unajua walikuwepo Udsm 8, unadhani hao Udsm walijua wewe unatoka chuo gani. Hiyo inatosha kuelezea post yako
 


Udsm ilianza kabla wewe na hata pengine mama yako hajazaliwa. Jipe moyo hapo eti promo zitaisha.
 
Wewe kama mimi nimepiga ARU
Niliwafyekelea mbali wote kwenye interview,am proud ARU product
Na gpa inasoma vilevile
Na soon naenda kuwanoa madogo zao hapohapo Ud kwao
If you know you know


Karibu Udsm na GPA yako utolewe baru na vijana wa mwaka wa kwanza
 
Nadharau sana MTU ambae analeta ushabiki wa vyuo eti kwasababu ya umaarufu ......

Udsm ya 80s na 90s huko sawa not this current udsm..imebaki legacy in fact ni moja ya chuo vya ovyo sana..kuja kasumba MTU akisoma udsm anajiona tayari he /she is very bright.

Watanzania inabidi mjue kwa dunia hasa in our country what you get from class is soooo little.. Unatakiwa kujiongeza through books,experience na matumizi mazuri ya mitandao ukikaa na ur primitive ideas za "nimesoma udsm " u ain't going nowhere
 
Nilivyokuwa Mdogo nikuwa nawaza hivi, toka nimekuwa Mkubwa nimegundua kusoma UD sio sifa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…