kusoma masters nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kusoma masters nje

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mzurisana, Jul 26, 2012.

 1. m

  mzurisana Senior Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni nchi gani ambayo inatoa masterz nzuri na ada yake sio ndefu sn? niliapply vyuo vya UK ila ada inarange kwny 25M mpk 35M hivi ambapo kwa private wala ctaweza kujilipia, nishaurini nigoogle vyuo vya nchi gani gani, au nikipata link pia itakuwa vzr sn
   
 2. E

  E52 Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mdau nenda south africa,turkey ada ni bwerere...ila kama unataka usome na kujiingizia kipato nenda norway,,,hawana ada hata kwa international student...ilaunatakiwa pale ubalozini watakufanyia process ya kufungua account norway ambayo unatakiwa uweke not less than 20m kama utaratibu hawajabadili,,,,hii ni kwa ajili ya ubalozi kujirizisha kwamba una pesa ya kuishi kule,,,,ukifika kule hamna ada kabisa hata ukitaka hadi PHD...nenda kasome na ubebe box ukirudi bongo una cheti na mtaji....kwa ushauri zaidi waweza kunipm
   
 3. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama budget yako haitoshi nenda malaysia kuna kuna vyuo vya uk na usa wamefungua branch zao huko so unaweza kusoma kwa life poa huko zaidi ili usiingie mkenge ubalozi wao wanaweza kukusaidia kwa kuangalia vyuo huko ambavyo vina branch huko, ila ki ukweli uk nowdays panatisha kuanzia ada na hata upatikanaji wa kazi wa kubeba mabox bado ni tatizo siku hizi.
   
 4. m

  mzurisana Senior Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  po mkubwa ntakuPM, thanx in advance
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mkuu sasa wakikufungulia acc then ukimaliza hyo hela wanachukua ubalozi au inakuwa ya kwako? Da ngoja nikusanye nikapige box norway! Bongo michosho!
   
 6. m

  mzurisana Senior Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona UK ss hv pamekuwa na maisha expencv sn yaan
   
 7. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu hapafai kabisa siku hizi sio kama zamani watu walikuwa wanakuja na hela kidogo maisha yanaenda maana atapata kazi siku hizi hizo kazi ni za kulilia
   
 8. E

  E52 Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hela inabai kuw a ya kwako....for more infos nenda ubalozi wao pale posta mirambo 50 watakupa full data
   
 9. m

  mzurisana Senior Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo sawa sema mh!!! hiko kigezo cjakipenda, hawajui km wengine tunategemea kutumiwa ela kwa awamu awamu
   
 10. K

  Kolero JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Germany itakufaa sana.
   
Loading...