Kusoma darasa moja na mkeo/mchumba ni sahihi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,609
Reaction score
127,988
Kweli kusoma chuo kimoja na either mke wako or mkeo wa ndoa tena wote mkiwa darasa moja na kozi hiyo hiyo ni sahihi haswa kwa ustawi wa huo uhusiano wenu.Kama ni sahihi vipi mazingira haya tata yakikutokea;

1. Huyo mke wako ana akili za darasani kushinda wewe mumewe poyoyo.

2. Huyo mke wako lecturer anamtaka kwa udi na uvumba huku akikufelisha wewe dmumuwe kusudi.

3. Huyo mke wako kwao ni mboga 7 ( matajiri ) huku wewe mumewe ukiwa ni pangu pakavu (masikini).

4. Huyo mke wako anakuzidi kimshahara huko maofisini kwenu.

5. Huyo mke wako huwa anajibu sana maswali darasani huku wewe mumuwe ukiishia kutizama tu.
 
hivi... kikubwa hasa ulitaka kumaanisha nini...?

Mkuu Kabanga Kwa Kuuliza Kwako Tu Hivi Ina Maana Tayari Umeshaelewa Hivyo Nakuomba Nipe Mtazamo Wako Tena Kama Mdau Wangu Mkubwa.
 
Hivi kuwaza mtazamo hasi ni kuwa maisha yamekushinda(umekata tamaa),hujiamini au hujielewi?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu Kabanga Kwa Kuuliza Kwako Tu Hivi Ina Maana Tayari Umeshaelewa Hivyo Nakuomba Nipe Mtazamo Wako Tena Kama Mdau Wangu Mkubwa.

Hapo mdau ni kukaa kimya tu, mara nyingi ndoa kama hizo zinaisha mapema sana, ikiwa ni mwanakme tu ambae una mahusiano ya hayo ambae si mkeo, kama ulivyoita demu tu, unapotezea usije kukosa cheti mdau wangu GENTAMYCINE.
 
Mi naona hakuna shida,mambo ya kutongozwa nI ya Kawaida sana,ustaarabu wake ndo utalinda heshima yenu. Mambo ya kujibu sana maswali,kwakweli Kama mkeo/ mumeo yuko competent kukushinda Hilo haliepukiki Jamani.
 
Hahahahaha.Hebu mtumie mikate na vitumbua
 
Ishu n msimamo tuuu...nmesoma na fiance wangu Darasa moja....coz moja na hayo yalikua yanatokea sana sema ndo ivo n kua na msimamo!! Mwisho wa siku mm shule iliisha na bado tupo vzr tuuu
 
Hayo Mambo 5 Hapo Juu Hayakukupata? Mmmmmmmh! Haya Bhana Hongera Zako Ila Wenzako Wengi Wanalia Kwa Hayo Niliyoyataja Hapo.
 
Hatukua na hela ila kilichokuepo tulishare wote!!
Na ilipotokea mamboz za malecturer nilimprotect kwa nguvu zang zote......was ready hata kufika kwa mkuu wa chuo lakn Sio mtu kumgusa kwa sababu yangu
 
mbona muuliza swali unajarbu kwekea mazingra ya swali lako ili isiwezekane...na umebase sana kwa grl....fresh tyu...bt 4 sure chuon hakuna mbumbumbu bana....!!!!
 
Mkuu Kabanga Kwa Kuuliza Kwako Tu Hivi Ina Maana Tayari Umeshaelewa Hivyo Nakuomba Nipe Mtazamo Wako Tena Kama Mdau Wangu Mkubwa.

ni kwamba umechanganya ....mara mboga 7 mara amekuzidi mshahara.....wakati kichwa cha habari kinasema kusoma darasa moja na mkeo/mchumba ni sahihi....

sasa tunajadili nini....
 
Jadili Ulichokielewa. Shikamoo Sister!
 
Ishu n msimamo tuuu...nmesoma na fiance wangu Darasa moja....coz moja na hayo yalikua yanatokea sana sema ndo ivo n kua na msimamo!! Mwisho wa siku mm shule iliisha na bado tupo vzr tuuu

ulidisco au?
 
Kweli kusoma chuo kimoja na either mke wako or mkeo wa ndoa tena wote mkiwa darasa moja na kozi hiyo hiyo ni sahihi haswa kwa ustawi wa huo uhusiano wenu.Kama ni sahihi vipi mazingira haya tata yakikutokea;

1. Huyo mke wako ana akili za darasani kushinda wewe mumewe poyoyo.

2. Huyo mke wako lecturer anamtaka kwa udi na uvumba huku akikufelisha wewe dmumuwe kusudi.

3. Huyo mke wako kwao ni mboga 7 ( matajiri ) huku wewe mumewe ukiwa ni pangu pakavu (masikini).

4. Huyo mke wako anakuzidi kimshahara huko maofisini kwenu.

5. Huyo mke wako huwa anajibu sana maswali darasani huku wewe mumuwe ukiishia kutizama tu.

1. Angalia lengo lako la kwenda hapo chuoni kama ni kushindana na mkeo au kuongeza elimu
2. Lecture akikufelisha kusudi na ushahidi ukiwepo, kuna ku appeal na pia kuna bodi ya kushughulika na mambo ya diazini hizo mavyuoni. Kikubwa kuwa na ushahidi tu
3. Huyo ni mkeo, unaposema kwao mboga saba hujitendei haki wala humtendei haki. Hiyo haina tofauti na maisha ya mtaani, u-mboga saba mpaka ujionyeshe ndio utajulikana. Akionekana yuko poa, sifa zitaangukia kwako.
4. Haushindani na mkeo. Mpo kwa ajili ya kujenga familia na kufanya maendeleo yenu na si kushindana
5. Kama anasoma na wewe husomi obvious mkeo atajibu tu. Kuna vipaji pia na karama, ukiacha hivyo nawe ukisoma vitu sahihi (na si matango pori) kwa bidii utajibu tu maswali

NB: Kikubwa nilichokiona hapo ni inferiority complex. Ni mbaya sana, iache kama unayo.
 
Back
Top Bottom