Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
pamoja sana mzee, nilikuwa kifungoni nimerudi janaKama Kawa Na Wadau Wangu Wakubwa Ndiyo Nyie / Kama Wewe. Natambua Uwepo Wako JAPO Na Wewe Huwa Tunakesha Wote Humu JF.
pamoja sana mzee, nilikuwa kifungoni nimerudi janaKama Kawa Na Wadau Wangu Wakubwa Ndiyo Nyie / Kama Wewe. Natambua Uwepo Wako JAPO Na Wewe Huwa Tunakesha Wote Humu JF.
Jadili Ulichokielewa. Shikamoo Sister!
pamoja sana mzee, nilikuwa kifungoni nimerudi jana
ulidisco au?
nimetumikia kwa mwezi mzima, nimetoka kwa msamaha wa raisiPole Mkuu! Ulipigwa Ya Wiki au Wiki Bee au Ya Mwezi? Mimi Mwenzio Nimeshazizoea Kadi Nyekundu Za Humu Na Sasa Wameamua Kunizoea Tu.