Kusoma bila ya ruhusa ya muajiri

mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
557
Points
250
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
557 250
Jamani kutumia muda wa ziada ambao ni nje ya kazi ama ukajiendeleza kimasomo kwa week end na ukawa unajilipia mwenyewe bila ya kumtarifu muajiri wako.
jee hili ni kosa?
na jeee ukipeleka vyeti kuongezewa mshahara anayohaki ya kukunyima nyongeza?
kwa kua hukumuomba ruhusa

Wanasheria dadavueni kwa hoja za kisheria
Natanguliza shukrani
 
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
557
Points
250
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
557 250
Wanasheria wako wapi?
 
Vangigula

Vangigula

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
371
Points
1,000
Vangigula

Vangigula

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
371 1,000
Mimi sio mwanasheria, ila haya ni maoni yangu. Unachofanya kwa muda nje ya masaa ya kazi ni your private business, mwajiri hapaswi na hana ulazima wa kujua. Kuhusu kupandishwa cheo baada ya kupeleka vyeti kutategemea mambo mengi. Je, mwajiri ana uhitaji na mtu mwenye elimu ya ngapi uliyoongeza? Je, mwajiri ana uwezo wa kulipa kwa cheo kipya? Sera ya ajira ya mwajiri ikoje?
.

..C
Ppawg3ewlew3o²mmk2n2mk2.w. m d0aoo²³pet k⁰jòoòò⁹9⁹9u99⁹9⁰0900⁰0009⁸ýýi0798i89oò
 

Forum statistics

Threads 1,336,568
Members 512,648
Posts 32,543,691
Top