Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,639
yani umeajiriwa toka 2015 na unamiaka zaidi ya 6 kazini ,HUNA HATA KA-VITZ kama number A ka kumvua mtu ...DaaaahSina kiongozi
aiseeee mkuu wew ni msukuma eeh?
yani umeajiriwa toka 2015 na unamiaka zaidi ya 6 kazini ,HUNA HATA KA-VITZ kama number A ka kumvua mtu ...DaaaahSina kiongozi
Nina rafiki yangu alienda kusoma ili atoke kwenye ualimu lakini mpaka sasa ni takribani miaka 5 yupo ni mwalimu wa kawaida, amejaribu kuandika barua kila sehemu lakini holaa, wenzake wenye degree moja wanapewa ukuu wa shule lakini yeye hamna kitu, ushauri wangu Soma kuongeza elimu na sio kwamba sijui uwe nani au ukafanye kazi sehemu nyingine.Wengi wananishauri kuwa nikisoma master of education in curriculum design and development naweza pata kazi nzuri hasa nacte,tie vyuoni nk
Alisomea Nini mkuu na alienda kusoma level gani?Nina rafiki yangu alienda kusoma ili atoke kwenye ualimu lakini mpaka sasa ni takribani miaka 5 yupo ni mwalimu wa kawaida, amejaribu kuandika barua kila sehemu lakini holaa, wenzake wenye degree moja wanapewa ukuu wa shule lakini yeye hamna kitu, ushauri wangu Soma kuongeza elimu na sio kwamba sijui uwe nani au ukafanye kazi sehemu nyingine.
Kuhusu kujenga ni jambo zuri ila jenga nyumbani kwenu nyumba ya kawaida ya kufikia na familia yako.
Jambo la muhimu fungua biashara, acha na mambo mengi wekeza kwenye biashara yeyote ile.
Kuna mwanaume anamsapoti ambae sio wewe acha kufananisha wanaume na wanawake tena huyo wa kukeshakeshaWewe ni fala sana tena ukiwa unaamka asubuhi jipige makofi ..mwaka wa sita huu hujajenga? Demu wangu ni medical attendant tu mwaka wa tatu huu kazini na ana nyumba kaliiiiii....jinga sana wewe..mburula mkubwa wewe..
Sikweelii..acha kujipa matumaini...miaka sita ni mingi mnooo.....Kuna mwanaume anamsapoti ambae sio wewe acha kufananisha wanaume na wanawake tena huyo wa kukeshakesha
Demu wako amejenga nyumba na wewe unachekelea tu? Huyo ni demu wenu sio demu wako, shituka aisee.Wewe ni fala sana tena ukiwa unaamka asubuhi jipige makofi ..mwaka wa sita huu hujajenga? Demu wangu ni medical attendant tu mwaka wa tatu huu kazini na ana nyumba kaliiiiii....jinga sana wewe..mburula mkubwa wewe..
Unauhakika huyo demu wako kama hana sponsor??Wewe ni fala sana tena ukiwa unaamka asubuhi jipige makofi ..mwaka wa sita huu hujajenga? Demu wangu ni medical attendant tu mwaka wa tatu huu kazini na ana nyumba kaliiiiii....jinga sana wewe..mburula mkubwa wewe..
Medical attendant ajenge nyumba kwa mshahara upi?! Kwa mshahara wa 150k??! Utakuwa na matatizo wewe sio bureWewe ni fala sana tena ukiwa unaamka asubuhi jipige makofi ..mwaka wa sita huu hujajenga? Demu wangu ni medical attendant tu mwaka wa tatu huu kazini na ana nyumba kaliiiiii....jinga sana wewe..mburula mkubwa wewe..
Huu ndio ushauri bora zaidi 👍🏿Nina rafiki yangu alienda kusoma ili atoke kwenye ualimu lakini mpaka sasa ni takribani miaka 5 yupo ni mwalimu wa kawaida, amejaribu kuandika barua kila sehemu lakini holaa, wenzake wenye degree moja wanapewa ukuu wa shule lakini yeye hamna kitu, ushauri wangu Soma kuongeza elimu na sio kwamba sijui uwe nani au ukafanye kazi sehemu nyingine.
Kuhusu kujenga ni jambo zuri ila jenga nyumbani kwenu nyumba ya kawaida ya kufikia na familia yako.
Jambo la muhimu fungua biashara, acha na mambo mengi wekeza kwenye biashara yeyote ile.