Kusoma au Kujenga kipi nitangulize?

Kusoma au Kujenga kipi nitangulize?

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
475
Reaction score
599
Tayari Nina degree(B.A education-Linguistivs & literature
)
Nina mke na mtoto mumoja,na nimeajiliwa 2015

Nitangulize kufanya Nini Kati ya kusoma master of education in curriculum design and development (open university)

Au nianze Kujenga,japo mdogo mdogo

Ushauri tafadhali
IMG-20211120-WA0000.jpg
 
Kuna wakati ushauri una nafasi yake kwa Jambo flani, huenda mdau anashindwa kufanya maamuzi, japo hajasema kuw shida ni bajeti au kitu gani, Kama upo vzr vyote vinaweza kwenda ila ujenzi ni gharama kuliko masters,
 
Wengi wananishauri kuwa nikisoma master of education in curriculum design and development naweza pata kazi nzuri hasa nacte,tie vyuoni nk
Ndiyo sababu nimekushauri ukasome mkuu, curriculum design and development ni potential sana kinachobaki ni juhudi zako kuijua kazi baaasi, kujenga utajenga tu mkuu, kwa sasa ukijenga hutajenga mjengo wa maana na utakupa mawazo tu
 
Ndiyo sababu nimekushauri ukasome mkuu, curriculum design and development ni potential sana kinachobaki ni juhudi zako kuijua kazi baaasi, kujenga utajenga tu mkuu, kwa sasa ukijenga hutajenga mjengo wa maana na utakupa mawazo tu
Ahsant Sana,kiongozi
 
Kama kichwa kiko Powa kasome ila kama unajijua kichwa kibovu kama Becky hapa usiende kusoma, huko kuna ma SUP ya kutosha, kusoma as an adult is difficult kuna responsibilities nyingi ambazo zinaweza kuwa source of distraction...mtoto sijui kaumwa kifauduro,rent is due n.k kama sio mgumu kusoma utahangaika sana,hio hela na muda utatamani ungeinvest kwenye mambo mengine...
 
Back
Top Bottom