Kusini mwa jangwa la Sahara ni Rais Kagame pekee kaalikwa mkutano wa G8, ana hekima nyingi ama?

Kwanini kagame huwa hatumii mwakilishi anaenda yeye kama yeye huo mkutano wa G7 huwa una athari gani kwake yeye kama raisi wa taifa kama mkoa wa kagera
 
Wadau habari zenu.

Kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ni Rais wa Rwanda pekee kidume shupavu Paul Kagame ndiye aliyealikwa na nchi za uchumi mkubwa duniani G8 kuhudhuria mkutano wao.

Je ushawishi wa enzi na enzi wa Tanzania umepotelea wapi?
Kagame ana nini cha ziada hadi kutupiku tena tukiwa na Uwenyekiti wa SADC?
Mbona Cyril Ramaphosa nae kaalikwa hukumuona?
 
Kagame alialikwa kwa sababu Ufaransa inajitahidi kwa nguvu zote kurudisha mahusiano mazuri ya kidiplomasia na Rwanda.
Inasemekana Ufaransa hawakufanya chochote kuzuia mauaji yaliyotokea Rwanda 1994.Kumbuka Ufaransa walikuwa na wanajeshi wao huko wa kulinda amani. Na Ufaransa walikuwa Pro Rais wa Rwanda alietunguliwa kwenye ndege.
 
Pk ni asset wao. Mabeberu
wanamtumia kuiba madini DRC.

Hata mabeberu wakitaka kutuvuruga watatumia ma asset zao hawa hawa ambao tunaona ni ma' best' zetu
 
Tatizo sisi weusi hatuna tabia ya kuwatukuza waliotuzidi hasa Kama ni mweusi mwenzetu. Kagame ni genious, ni bahati mbaya anatawala kainchi kadogo ambako hakana natural resources za kutosha. Natamani angekua Raisi wa Congo au Africa.
 
Wadau habari zenu.

Kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ni Rais wa Rwanda pekee kidume shupavu Paul Kagame ndiye aliyealikwa na nchi za uchumi mkubwa duniani G8 kuhudhuria mkutano wao.

Je ushawishi wa enzi na enzi wa Tanzania umepotelea wapi?
Kagame ana nini cha ziada hadi kutupiku tena tukiwa na Uwenyekiti wa SADC?

Ukiona Mtu yoyote yule anamchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame jua ni lazima tu atakuwa na matatizo makubwa ya Akili na yuko katika Kiwango Kamili cha Uwendawazimu ulioshindikana. Na ukiona Mtu yoyote yule anampenda na anamkubali mno Rais wa Rwanda jua atakuwa na Akili Kubwa na Nyingi sana Kichwani. Hakuna Rais ambaye anajua anachokifanya na anayepamba Afrika na pengine Rwanda na Afrika ipo Siku itamkumbuka kama Paul Kagame. Ameitoa Rwanda mbali sana na anaipeleka Rwanda katika Mafanikio makubwa mno ya Kiuchumi na Kiustawi na sishangai kuwa ndiyo maana hata Wazungu wengi na Mataifa makubwa yanamkubali na yanamuheshimu kuliko Marais wengi tu waliopo Barani Afrika na hasa katika huu Ukanda wetu. Huwa nawashangaa Watu wanaomchukia Rais Paul Kagame kwani huenda wakawa hawaujui uzuri wake na aina yake ya Commitment ya Kipekee kabisa aliyonayo katika Uongozi wa nchi. Anaweza akawa na Mapungufu yake kama Binadamu ila ukimpima katika Mizani na jinsi alivyoitoa Rwanda kule ilipokuwa katika Mauwaji ya Halaiki na Umasikini mkubwa na jinsi alipoiweka leo ni lazima tu utampongeza na pengine hata kuwataka Marais wengine nao wamuige. Na msishangae muda wowote kuanzia sasa hii hii Rwanda ya Rais Paul Kagame ikazizidi nchi nyingi za Afrika Kimaendeleo hadi zile ambazo zilipata Uhuru wake mapema tu lakini hadi leo ziko hohe hahe Kimaendeleo na Wananchi wengi Kazi yao Kubwa ni Kusifu na Kupamba huku wakiwa ni Vinara wa Kupenda tu Umbeya, Majungu, Fitna na Ushirikina bila kusahau Kupenda Kula Bata na mambo mengi tu ya Kipuuzi na yasiyo na Tija kwa Maendeleo yao. Siku moja ikitokea nimekutana na Rais Paul Kagame nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa tu kwani ni aina ya Marais ' Genius ' wachache sana unaoweza ukawapata kwa sasa Barani Afrika na natamani huyu Mtu ( Kagame ) angeitawala nchi moja hivi Jirani ( yenye Wananchi wengi japo siyo wote wasiojielewa na wapo wapo tu ) angalau hata kwa miezi Sita tu huenda angewasaidia hasa Kuwainua na Kuwajenga Kifikra, Kiitikadi na Kimtizamo hasa katika maeneo makubwa Matatu ya Kiuchumi, Kielimu na Kiuwajibikaji huku akiwapandikizia Mbegu ya Kizalendo na ile ya Kimapambano ambayo tayari ameshaipanda sana ndani ya Mioyo ya Wanyarwanda na kwa Taifa zuri na jema la Rwanda.
 
Mbali na madhaifu aliyonayo, Rais Paul Kagame, ni miongoni mwa viongozi wa Africa wenye weledi na uelewa mkubwa sana katika suala la uongozi. Anaijenga Rwanda, na jitihada zake zinaonekana. Kikubwa, alichonifurahisha, ana ile programme inaitwa "YOUNG PROFESSIONALS MEET THE PRESIDENT", anakutana na kuzungumza na watu. Anaheshimu wasomi wa Taifa lake, hasa vijana, na juzi tu, ametoka kurusha satelite ya pili, kazi iliyofanywa na vijana wasomi wa nchi yake. Uku sisi, sijui tunakula chakula gani. Mtu wa darasa la 7, anampangia daktari, aliyesoma miaka 6, namna ya kumtibu mgonjwa. Acheni tu aende G7 uko.
 
Wadau habari zenu.

Kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ni Rais wa Rwanda pekee kidume shupavu Paul Kagame ndiye aliyealikwa na nchi za uchumi mkubwa duniani G8 kuhudhuria mkutano wao.

Je ushawishi wa enzi na enzi wa Tanzania umepotelea wapi?
Kagame ana nini cha ziada hadi kutupiku tena tukiwa na Uwenyekiti wa SADC?
Mkuu kila mwaka kuna wanaoalikwa. Rwanda imealikwa kwenye huu mkutano na ule uliopita. Kenya pia ilialikwa ule wa 2017 na 16. Tatizo lenu ni watu wa matukio. Labda ndiyo kwanza umefuatilia mwaka huu. Kama ungekua na uzoefu ungejua hauitwi tena G8 bali G7. Russia ilishotolewa mwaka 2016 kwenye hilo group. Na pia Ramaphosa anatoka juu ya jangwa la sahara?
 
''Kagame in France as Rwanda, Four African Countries Join the G7 Summit

President Paul Kagame receives a guard of honour upon arrival in Biarritz, France. Rwanda’s President Paul Kagame on Sunday arrived in the Coastal city of Biarritz, France, to attend this year’s G7 summit.

For the first time, Rwanda and other four African countries were invited to the Group of Seven (G7) summit, consisting of Canada, France, Germany, Italy, Japan, the United Kingdom, and the United States.

These countries are described by the International Monetary Fund (IMF) as the most advanced economies in the world – representing 58% of the total global net wealth ($317 trillion).

Rwanda was invited as the former Chair of the African Union (AU). Other four African countries invited to the summit are; Egypt, the current chair of the African Union, South Africa which is the next African Union chair, Senegal which is exercising the current chairmanship of the New Partnership for Africa Development (NEPAD) and Burkina Faso which is chairing G5 Sahel. At the summit, Rwanda also joins Australia, Chile and India as non member states to take part in this year’s 45 th G7 summit.

According to the Office of the President, Kagame is expected to attend the “G7 & Africa partnership” meeting this afternoon.
The session will discuss security in the Sahel region and dive into the key achievements of the G7 and Africa partnership with a special focus on women entrepreneurship, digital transformation, and the fight against corruption.

Shortly after arriving in France, President Kagame alongside other African counterparts attended a lunch hosted by African Union Chairperson, President el Sisi. Rwanda’s State Minister in the ministry of Foreign affairs in Charge of East African Community Affairs – Olivier Nduhungirehe had earlier said that the country will have a lot to share to participants during the G7 summit.

According to Minister Nduhungirehe, “this is the very first G7 conference where France invited African countries not only for the summit itself, but also in the preparatory events where texts are negotiated.” Durig the summit, Rwanda is expected to share with the participants its core values and the agenda it is pushing like the women entrepreneurship, digital transformation, biodiversity and the climate.

This year’s 45th G7 summit is perceived as an event that intends to “fight inequality.” In March 2014, the G7 declared that a meaningful discussion was currently not possible with Russia in the context of the G8. Since then, meetings have continued within the G7 process.''
Bora uwafafanulie wstu wanakimbilia tu kuwrka thread. Na Senegal kaalikwa sababu ni mwenyekiti wa NEPAD. Jamaa zetu hawana muda wa kutafuta ukweli bali kutafuta habari za kuishusha nchi yao kwa chuki ya Meko
 
Asante kwa kutumalizia huu mzozo
 
Mzee Meko angealikwa kwenye huo mkutano, ile timu ya kusifu na kuabudu ikiongozwa na profesa mkodoa macho aliyeokotwa jalalani wangependekeza siku ya kilele cha mkutano iwe siku ya mapumziko na radio zote zipige nyimbo za kumsifu na kumuabudiu mzee Meko kwa siku tatu huku TBCCM ikirusha matangazo live kutoka Paris, Ufaransa! Hoja kubwa ambayo washauri wa Mzee Meko wangeipeleka kule ni kua Kisukuma kiwe moja ya lugha rasmi katika mikutano ya G7!
 
Back
Top Bottom