Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Hivi hii kisheria inakaaje,umelea Mtoto ukasomesha hadi secondary, baada ya Mtoto kumaliza shule ndiyo mama wa Mtoto ana kuchana live kua Mtoto siyo wa kwako,na Baba wa Mtoto kaonekana!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni stori za kutunga, alafu mwanaume una roho ngumu kwamba tumbo kubwa na alikuwa anatema mate balaa lkn bado ukawa na hamu tu ya kusex naye!
 
Mwambie nataka nikampime mtoto DNA, alaf msikilize, hakuna mimba ya miezi 6. Kwanza ulikubalije kutoa matumizi wakati unafahamu kabisa imepita miezi 6?
Nenda kapime DNA.
 
Ndo hivo sasa, aliniendesha sana alijua siwez kuruka kwenye mtego wake, sasa nimeshamweleza target yake yote aliyokua ameiweka na sahv ameshatulia hanisumbui tena
Huyo inaonekana alikupumbaza na madawa kashaona madawa yake yameisha nguvu na wewe umeshashtuka, ndiyo maana katulia, ukiona mwamke anakutesa sana ujue kuna kitu ana kitegemea sana sana madawa
 
Huyo inaonekana alikupumbaza na madawa kashaona madawa yake yameisha nguvu na wewe umeshashtuka, ndiyo maana katulia, ukiona mwamke anakutesa sana ujue kuna kitu ana kitegemea sana sana madawa

Yaweza kuwa ni kwel coz Tangu nimueleze kila kitu alikaa kmia mpaka sasa hajawahi nisumbua tena
 
Wewe utakuwa mwanaume wa dar uliekulia magomeni .mtu anakusingizia mimba unaanza kumuonea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…