Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Wew hujui kutoa ushauri, mim pia najutia maamuzi niliyoyachukua ya kulana na barmaid bila condom that’s why nmekuja jf kuomba ushauri, hapa dunian hakuna mtu mkamirifu

Ndo maana nasema Judgement yako hata sasa sio sahihi, anaweza kuwa mtoto wako huyo. Sio swala la ukamilifu, mambo mengine ni ya kijinga sana, unalalaje na mwanamke mmekutana leo tena wa Bar bila condom? Sio issue ya kuwa ukamilifu wala.
 
Na wew bwege mimba gani hiyo baada ya miezi sita mtu ameshajifungua?!! Na mjifunze kutumia kinga mkikutana na machangudoa km hao, usijikatie tamaa ya maisha kiasi hicho mpk uachie mbegu zako ovyo ovyo tu
 
Sasa huyu ndio sampuli ya wanaume washamba, dunia hii unabambikiwaje mimba km umesoma hata kidogo!?
 
Kwa kweli pombe siyo chai, yani unakutana na mhudumu wa bar unalala nae bila kutumia kinga, Bora umesingiziwa mtoto kuliko kuambukizwa Ukimwi.
 
Kwahiyo Blaza ulipiga Muhudumu nyama nyama..kweli wewe ni shujaaa
 
Kuna demu mmoja nikikutana naye sehemu nikamuelewa nikaomba namba tukawa marafiki alikuwa anauza chakula Bar ana mzigo hatar, sikuwa na haraka ya kumgonga nikawa naenda naye taratibu sasa ilifika muda akawa anahitaji nimgonge nikamwambia sawa ila kwasasa Niko busy kidgo nitakujulisha nikiwa tayar, nikamzingua zingua mwishowe akagundua kama sijawa tayar kwa tendo akaacha kuniomba nimle na mm nikaendelea kumtafuta kwa salamu na story zingine za kawaida, baada kama ya miez mi5 anakuja niambia ana mimba na ilibidi aniambie kwasababu professional yangu inahusiana na hao wajawazito nilipokuja kupiga mahesabu umri wa mimba na siku aliyokuwa anataka nikamgonge nikagindua ilikuwa ishapita kama wiki Toka abebeshwe mimba kwahiyo kama ningemgonga basi Kuna uwezekano mkubwa angenisingizia mm ndio baba wa mtoto, nikawa nimekikwepa hicho kikombe kwa namna hiyo.

FUNZO: Ogopa sana mwanamke anayeharakisha umgonge na Yuko radhi alipie mpaka guest ni hatar otherwise tumieni kinga kama hamuwez kuacha uzinzi.
 
Wewe ni mwehu tu,yaani malaya kabisa kabisa unapiga bila kondomu.
Mbwa wewe kula hayo matunda ya ujinga wako
 
DNA
 
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?

Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.

Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
😂😂😂
 
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?

Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.

Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?

Skuwahi mpeleka kazini kwangu, lakini ni yeye alikuja na sjui alielekezwa na nan.
 
Unagonga bar maid bila kinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…