Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Ila Kuna wanaume maboya, mazwazwa, majinga, mbwaaa mafala ,mazobaaa .


ningekua babako, ningekuchapa fimboo zakutosha
 
Yaan wewe ndo hujajua kumuweka kitimoto na huyo ustawi wa jamii wake,
 
KAPIME DNA

MBONA UNAISHI KAMA KARNE YA 7 WAKATI SIKU HIZI MAMBO NI RAHISI?
 
Ndomu hamnaga?
 
Nlikubali kutoa tumizi kama support tu kwa mtu ninaemfaham ,lakn kumbe huruma yangu ya kutoa tumizi ndo inataka kuniangamiza aseeh, naombeni ushauri na mbinu ya kuliepuka hili swala linataka kunielemea [emoji30].
Kapime DNA
 
Kabla ya yote utakuwa upo chini ya miaka18 inamaana umeshindwa kutambua wizi wa huyo dada kwani ustawi wa jamii ndio kina nan we mpuuzi inatakiwa upigwe na makofi na huyo malaya maan huna hulka za kiume sasa kam unajua hayo iweje uje ueleze ushubwada nyie ndo mnafanya wanaume tuonekane vilaza...mjini hapa mimba ni mradi wa kinadada,mtoto ni mradi pia shtuka wewe
 
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?

Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.

Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Huyu jamaa ni mtu wa hovyo hovyo asiye na akili!! Miezi 6 mru kajifungua alafu anakubali kutoa matumizi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…