Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 307
mzee ananikazia mpaka sasa nawaza niende polisi au ntajichinjia kaburi mwenyewe nikienda hukoDuuuuuh.....hapo ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
binti sio mwanafunzi na sina hata mazoea nae mkuuMbona kesi rahisi kabisa hiyo.
Faini kwa kidhibiti gani kuwa binti katomaswa au kukojolewa?
Embu mwambie kesi iendelee na shahidi alete na ripoti ya Daktari kama ulkuwa nae.
Vyuma vimekaza tu hapo.
Ila ukikomaa hakikisha kweli binti hujawai hata kuonekana nae kkmazingira ya Utata?
Je, ni mwanafunzi??
We mpe hiyo hiyo laki mbili halafu mtafune kweli kufidia
Usimlipe ukimlipa utakuwa umekubarimzee ananikazia mpaka sasa nawaza niende polisi au ntajichinjia kaburi mwenyewe nikienda huko
Mwambie unamuachia Mwenyezi Mungu . Kama ana hofu ya Mungo atastuka na nafasi itamsuta.
Acha ufala tafuna binti na fedha usitoe
angekuwa mzuri ningejua nafanyaje sasa bint mwenyewe wa kawaida sanaAnataka akuozeshe? Maana hio laki mbili inatosha Mahari kwa baadhi ya makabila.
Nimekuambia tafuna kwanzasasa mkuu ntamla saa ngap msala wenyewe wa moto huu na bado mzee anasumbua jana tu kimetokea kikao kingine
Kama binti mzuri baada ya kumaliza kesi usimwache mpelekee mpini