Kusingiziwa kunauma jamani asikwambie mtu

Nikikumbuka mwaka jana niliyosingiziwa hapa JF nabaki kusikitika na mengine kucheka yaani
Nakumbuka ilivuma umefariki kwa ajali mbaya ya gari maeneo ya ubungo na picha zikawekwa humu dah!
Pole Sana kaka Jose...
Maisha yana mengi mapito, changamoto.
Kikubwa unaomba ujasiri wa kusonga mbele usiyumbishwe na kauli za walimwengu...
Niliwahi singiziwa pia hapa jf Kwa I'd yangu Ile nyingineeee tena watu wakaja na ushahidi kabisa na kuna wadau mpaka sasa wanaamini Ile issue but all in all nilimshukuru Mungu na yule mshadadiaji naona huko aliko ameshayapata malipo ya kazi yake nzuri....
 
Hahaha!

Well, well, well.....

Hivi kusingiziwa ndo huko huko kuzushiwa?
Hivi Nyani wewe kuwa Richard au ndjabu unazushiwa/kusingiziwa au ni kweli?
Ila na wewe kweli Nyani Mzee maana umepataga makashfa mengi humu jf unadunda Tu..
Umekwepa mishale ya kutosha aisee!
Na Ile avator yako huna masikio teh teh!!!
Ulimhola ngaluuu?
 
Nakumbuka ilivuma umefariki kwa ajali mbaya ya gari maeneo ya ubungo na picha zikawekwa humu dah!
Pole Sana kaka Jose...
Maisha yana mengi mapito, changamoto.
Kikubwa unaomba ujasiri wa kusonga mbele usiyumbishwe na kauli za walimwengu...
Niliwahi singiziwa pia hapa jf Kwa I'd yangu Ile nyingineeee tena watu wakaja na ushahidi kabisa na kuna wadau mpaka sasa wanaamini Ile issue but all in all nilimshukuru Mungu na yule mshadadiaji naona huko aliko ameshayapata malipo ya kazi yake nzuri....
Duuh kabisa mtu anamzushia mwenzie kifo jamani watu wauwaji. Pole na wewe mwaya
 
Nilivoisoma Ile issue ilikuwa hivi, jamaa aliefariki alikuwa anaitwa Jose halafu kipindi kile Joseverest alikuwa available sana hapa jamvini yaani Ile sifa yake ya kuwa wa kwanza kureply post ilimpa umaarufu, sasa ilipotokea ajali akawa haonekani jamvini na mleta habari akasema marehemu alimuwa member wa jf hapo sasa wanajf wakaunganisha ..
Kumbe jamaa aliadimika Kwa sababu zake Tu.
Inauma Sana but ni kupuuza Tu.
Mimi niliwapotezea naona wanapata malipo yao Tu huko waliko...
 
Kumbe daah na wewe ilikuwaje, teh najua kusimulia itakuwa sawa na kutuambia I'd yako ileee

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nyani wewe kuwa Richard au ndjabu unazushiwa/kusingiziwa au ni kweli?
Ila na wewe kweli Nyani Mzee maana umepataga makashfa mengi humu jf unadunda Tu..
Umekwepa mishale ya kutosha aisee!
Na Ile avator yako huna masikio teh teh!!!
Ulimhola ngaluuu?

Nalemhola nyanda!
 
Ukisema mulikuwa munamaliza wakubwa lasaba, ulimaliza na umri gani maana watu wanashindwa lurkers ukiwa level fulani mtu unajiona mkubwa kumbe kwa macho ya wajuu yako wewe mtoto tu
 
Nakumbuka ilivuma umefariki kwa ajali mbaya ya gari maeneo ya ubungo na picha zikawekwa humu dah!
Pole Sana kaka Jose...
Maisha yana mengi mapito, changamoto.
Kikubwa unaomba ujasiri wa kusonga mbele usiyumbishwe na kauli za walimwengu...
Niliwahi singiziwa pia hapa jf Kwa I'd yangu Ile nyingineeee tena watu wakaja na ushahidi kabisa na kuna wadau mpaka sasa wanaamini Ile issue but all in all nilimshukuru Mungu na yule mshadadiaji naona huko aliko ameshayapata malipo ya kazi yake nzuri....

Aaah yaani mkuu we acha tu kikubwa namshukuru Mungu bado napumua na nilishawasamehe walionizushia hayo mabaya

Pole mkuu ndio maisha yanatokea
 
Ulisingiziwa nini baby
JUST IMAGINE WATU WANAKUZUSHIA HIZI HABARI:

Miongoni mwa taarifa hizo nilizoziona na ambazo nimezushiwa ni;
1. Nimebadili ID na avatar

2. Nimetekwa na watu wa usalama na kufichwa kusipojulikana

3. Nilienda Zimbabwe wengine wakasema Kenya kwenye uchaguzi

4. Nimemaliza kazi niliyotumwa na 'watu wa system'

5. Nipo chuo Tandabui

6. Mke wangu kanizuia kuingia JF

7. Simu yangu imeharibika au kudondokea kwenye maji

8. Nimetongoza mwanamke wa mojawapo ya mods ndio maana nimezuiwa kupost

9. Nipo Kibiti napimwa mkojo kwa ajili ya uchochezi au nipo magereza

10. Nipo nchini China/Canada kikazi/kimasomo ambapo baadhi ya mitandao ya kijamii imefungiwa (kupigwa BAN)

11. Wengine walidiriki kwenda mbali na kusema Nimefariki katika ajali ya pikipiki (iliyotokea ubungo riverside ikimuhusisha ndugu yetu Johanes [RIP])
 
Pole baby

Similar Discussions

Back
Top Bottom