Kusingiziwa kunauma jamani asikwambie mtu

Nliwahi kusingiziwa nkiwa darasa la tatu nlilia sana hase, ilikuwa siku yangu ya kwanza kufika shule hiyo nlihamia kutoka kijijini nlipokuwa naishi kwa bibi,asubuhi siku ya kwanza nlipelekwa na kaka yangu akaninunulia kalamu njiani maana tulihisi watakuwa wameshaanza kutumia kalamu ya wino, sa nne muda wa mapumziko nikiwa nimekaa kivulini nachorachora ili kujizoesha kutumia kalamu akaja jamaa moja ananiambia hiyo kalamu ni yake et nimeiba akaanza kuonesha na alama zake tena akanipeleka kwa mwalimu nlibisha sana mwisho alinizidi kiswahili ukiongeza na kutoka kijijini sikuwa na uwezo wakujieleza vizuri kufupisha story ikabidi nikubali kuwa nimeiba, na story ikaanza kusambaa kuwa yule mwanafunzi mgeni ni mwizi yaani siku ya kwanza kuja kashaiba kalamu hase iliniuma sana nlitamani kuacha shule nlimlaumu sana huyo mwalimu(apumzike kwa amani)nashukuru Mungu hiyo story haikudumu kwa sababu tulikuwa watoto na nlianza kutengeneza marafika kama kawaida tu ila iliniuma sana nachukia sana kusingiziwa yaani mwalimu anaweza nichapa hata fimbo kumi kwa kosa nlilofanya nisilie lakin fimbo moja au hata neno tu kwa kosa la kusingiziwa itanifanya nlie mpaka kichwa kiume, mpaka leo kama kosa nimefanya huwa nakuwa mdogo kuliko hata priton lakin ka sijafanya patachimbika
 
daaah nilivyosoma huu uzi nimejikuta nacheka sana

maana leo mchana nimetoka kupokea madai mazito kuwa namkula binti fulani rafiki wa rafiki yangu jambo ambalo halina ukweli

na mtu anayenipa tuhuma anasema kaambiwa na mtu ambaye hawezi kumdanganya hata siku moja
 
Daah pole sana mkuu
 
Mtu anakomaa kabisa yani, kama ni mtu ambae hana impact kwako unampuuza tu
daaah nilivyosoma huu uzi nimejikuta nacheka sana

maana leo mchana nimetoka kupokea madai mazito kuwa namkula binti fulani rafiki wa rafiki yangu jambo ambalo halina ukweli

na mtu anayenipa tuhuma anasema kaambiwa na mtu ambaye hawezi kumdanganya hata siku moja
 
Mwaka 2006 kipindi tunaishi kwa mjomba Kigogo mimi na kaka yangu, tuliwahi kusingiziwa tunamkula mke wa binam yetu ambae ni mtoto wa mjomba sababu tu ya Ukaribu na Maelewano mema tuliyokuwa nayo nao
 
Yaani wakasema wote wawili mnamkula?
Mwaka 2006 kipindi tunaishi kwa mjomba Kigogo mimi na kaka yangu, tuliwahi kusingiziwa tunamkula mke wa binam yetu ambae ni mtoto wa mjomba sababu tu ya Ukaribu na Maelewano mema tuliyokuwa nayo nao
 
mie fm3 iyo nikaambiwa na mama kapata taarifa natembea na mdada mjane ambaye mmewe kafariki kwa moto. kila siku n wimbo huo huo nikajitetea ila wapi

nikaona isiwe tabu wacha niwe mpole ila amani sina,kumbe kuna mmama ndo kamueleza 'yule kijana wako mrefu ndo ana fanya haya' siku mama kaja nae (kama mgeni kumbe anataka muuliza) mie nikaitwa kusalimia kumbe ndo usahili. Yule mazaa akasema si mimi

badae ikaja gundulika ni bro wangu baada ya kupigana wakimgombea disco. yale maneno ya maza hadi leo nayakumbuka
 
Sikua na mengine zaidi ya kujua umri tu.
Ila nimesitisha mkuu.
Nataka nijue kama una kitu unataka kukizungumza au kuuliza baada ya kujua umri wangu, pengine naweza kukijibia bila kulazimika kukwambia umri ila kama umeamua kusitisha sio kesi uwe na jumapili njema
 
Back
Top Bottom