kusimamishwa kazi kwa dini J.Mwamboza

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
Kutokana na kusimamishwa kazi kwa aliyetajwa hapo,wenye nyepesinyepesi watugaie.au aliyesoma kwenye gazeti la mtanzania hii kuhusu hii cheche atupatie nakala.Ni hayo tu
 
Kutokana na kusimamishwa kazi kwa aliyetajwa hapo,wenye nyepesinyepesi watugaie.au aliyesoma kwenye gazeti la
mtanzania hii kuhusu hii cheche atupatie nakala.Ni hayo tu

Eti huyu nae ni great thinker! pumba tupu sasa ulichoandika hapo ni nini? sio lazima kila mtu aandike thread, unaweza soma za wenzako ukaenda zako.
 
Kwakweli sijakupata sijui ulikuwa unamaanisha nn?

au ukilitaka maanisha kusimamishwa kazi kwa J.Mwamboza due to UDINI?
 
Kutokana na kusimamishwa kazi kwa aliyetajwa hapo,wenye nyepesinyepesi watugaie.au aliyesoma kwenye gazeti la mtanzania hii kuhusu hii cheche atupatie nakala.Ni hayo tu

Jifunze kuandika vizuri.
 
Back
Top Bottom