Kusimama Kwa Uume Kila Niamkapo:

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,251
2,000
Wasalam wana JF ...

Kila niamkapo either alfajiri au asubuhi hukuta uume ukiwa umesimama.

Swali: Je pana siri gani ama mahusiano gani ya hiyo "erection" kibaiolojia, kisaikolojia au vnginevyo?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,096
2,000
Wasalam wana JF ...

Kwanza naanza kuwaomba moderators (mods) tafadhali msiuondoe huu Uzi maana nahitaji kupata jawabu la swali ambalo hunitatiza;

Kila niamkapo either alfajiri au asubuhi hukuta uume ukiwa umesimama.

Swali: Je pana siri gani ama mahusiano gani ya hiyo "erection" kibaiolojia, kisaikolojia au vnginevyo?
Uzi wako ungeenda kuuweka JF Doctor.
 
PARADIGM

JF-Expert Member
Sep 9, 2014
2,587
2,000
Kitabibu hiyo ni dalili nzuri kuwa.via vyako vya uzazi vinafanya kazi vizuri.. Ukikosa kuona hii dalili si habari njema. Hi hata watoto wadogo wa kiume huwatokea. Ikitokea mtoto wako wa kiume haonyeshi hii dalili ujue kwamba hata akiwa mkubwa anaweza kuwa hanithi. Hii ni njia ambayo wazazi wengi hutumia kujua kama watoto wao wako vizuri au hapana.

Njia hii imetumiwa na madaktari kugundua chanzo cha tatizo la na nguvu za kiume kama ni la kisaikolojia au kibiolojia. Endapo uume unasimama asubuhi na bado mtu anakosa nguvu huwa ni tatizo la kisaikolojia. Uume kushindwa kusimama asubuhi ni tatizo la kibiolojia.

Uume pia husimama wakati wa haja kubwa . Hili nalo ni jambo la kawaida kwasababu kitendo cha kwenda haja husukuma damu kweye uume.

Nakupongeza mkuu kuwa ni dalili kwamba kibamia/muhogo wako uko vizuri. Ikumbukwe kwamba kusimama kwa mazingira haya ni tofauti na unapokuwa na matamanio ya mwanamke. Hutokea hata kama huna mawazo ya kujamiiana na ndo maana hata watoto wadogo hutokewa na hali hii.
 
kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,711
2,000
Wasalam wana JF ...

Kwanza naanza kuwaomba moderators (mods) tafadhali msiuondoe huu Uzi maana nahitaji kupata jawabu la swali ambalo hunitatiza;

Kila niamkapo either alfajiri au asubuhi hukuta uume ukiwa umesimama.

Swali: Je pana siri gani ama mahusiano gani ya hiyo "erection" kibaiolojia, kisaikolojia au vnginevyo?
Hakuna siri, ila uutumikishe sana naona haushibi huo!
 
kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
378
500
Wasalam wana JF ...

Kwanza naanza kuwaomba moderators (mods) tafadhali msiuondoe huu Uzi maana nahitaji kupata jawabu la swali ambalo hunitatiza;

Kila niamkapo either alfajiri au asubuhi hukuta uume ukiwa umesimama.

Swali: Je pana siri gani ama mahusiano gani ya hiyo "erection" kibaiolojia, kisaikolojia au vnginevyo?
Hebu njoo huku Pemba nikupe ilimu sahihi UA suala lako,pia itakuwa mwalimu Kwa wenzako
 
kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,711
2,000
Kitabibu hiyo ni dalili nzuri kuwa.via vyako vya uzazi vinafanya kazi vizuri.. Ukikosa kuona hii dalili si habari njema. Hi hata watoto wadogo wa kiume huwatokea. Ikitokea mtoto wako wa kiume haonyeshi hii dalili ujue kwamba hata akiwa mkubwa anaweza kuwa hanithi. Hii ni njia ambayo wazazi wengi hutumia kujua kama watoto wao wako vizuri au hapana.

Njia hii imetumiwa na madaktari kugundua chanzo cha tatizo la na nguvu za kiume kama ni la kisaikolojia au kibiolojia. Endapo uume unasimama asubuhi na bado mtu anakosa nguvu huwa ni tatizo la kisaikolojia. Uume kushindwa kusimama asubuhi ni tatizo la kibiolojia.

Uume pia husimama wakati wa haja kubwa . Hili nalo ni jambo la kawaida kwasababu kitendo cha kwenda haja husukuma damu kweye uume.

Nakupongeza mkuu kuwa ni dalili kwamba kibamia/muhogo wako uko vizuri. Ikumbukwe kwamba kusimama kwa mazingira haya ni tofauti na unapokuwa na matamanio ya mwanamke. Hutokea hata kama huna mawazo ya kujamiiana na ndo maana hata watoto wadogo hutokewa na hali hii.
mmmh uume kusimama wakati wa haja kubwa kuna maelezo mengi. Kwa wale wenzangu wanaoburudika kupitia maumbile yasiyo rasmi nasikia uume ukisikia harufu ya ile kitu tu, unasimama, yaani ni kama mtu wa aina hiyo anaukumbusha au kuutamanisha ile kitu. Kibaya zaidi kwa kusimama unakuwa unamtamani nduguye. Ni kweli hii?
 
busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,251
2,000
Kitabibu hiyo ni dalili nzuri kuwa.via vyako vya uzazi vinafanya kazi vizuri.. Ukikosa kuona hii dalili si habari njema. Hi hata watoto wadogo wa kiume huwatokea. Ikitokea mtoto wako wa kiume haonyeshi hii dalili ujue kwamba hata akiwa mkubwa anaweza kuwa hanithi. Hii ni njia ambayo wazazi wengi hutumia kujua kama watoto wao wako vizuri au hapana.

Njia hii imetumiwa na madaktari kugundua chanzo cha tatizo la na nguvu za kiume kama ni la kisaikolojia au kibiolojia. Endapo uume unasimama asubuhi na bado mtu anakosa nguvu huwa ni tatizo la kisaikolojia. Uume kushindwa kusimama asubuhi ni tatizo la kibiolojia.

Uume pia husimama wakati wa haja kubwa . Hili nalo ni jambo la kawaida kwasababu kitendo cha kwenda haja husukuma damu kweye uume.

Nakupongeza mkuu kuwa ni dalili kwamba kibamia/muhogo wako uko vizuri. Ikumbukwe kwamba kusimama kwa mazingira haya ni tofauti na unapokuwa na matamanio ya mwanamke. Hutokea hata kama huna mawazo ya kujamiiana na ndo maana hata watoto wadogo hutokewa na hali hii.
Mkuu nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako wa kina ulogusa maeneo yote mawili "biological & psychological" ....

I've become knowledgeable somehow ..... by the way nmetiwa moyo na sentence " Kitabibu hiyo ni dalili nzuri kuwa via vyako vya uzazi vinafanya kazi vizuri"
 
Top Bottom