Kushukuru.

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Father we thank Thee for the night,
And for the present morning light,
For rest and food and loving care.

Help us to do the things we should,
To be to others kind and good,
In all we do in all we say,
To grow more loving everyday!

Father we thank Thee for the night!

Members of MMU say with me "AMEN"
Kwa some of us ambao tulilala na maheadache, stomachache au hata maheartache na tumeamka wazima tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu tunayemuamini!

Tuliolala chumbani na kitandani warm n comfortable tuna sababu zote za kumshukuru Mungu. Maana kuna wasafiri waliokwama, wanaouguza ambao hawakupata hata lepe la usingizi, kuna wafungwa waso na hatia na hata wajeshi ambao wako vichakani!

Tuliolala tumekula hali kadhalika tunapaswa kumshukuru Mungu, kuna watu wameshasahau ladha ya warm meal!

Tuliolala tumekumbatiana na wapenzi wetu halali, pia twapaswa kumshukuru Mungu, kwani kuna no kubwa tu ambayo haijabarikiwa kupata wenzi kama wetu!

Siwezi maliza list ya blessings tulizonazo ambazo tunatake for granted na kulaumu vichache ambavyo tunadhani tunavikosa!

So guys, always thank your creator for everything!
Weekend njema!
 
Waoo!That's why i love u mama watoto wangu!Nakupenda kwa sababu unajua kushukur.Lakini zaidi sana,unamkumbuka Muumba.. . . . . Uliyosema ni kweli,kumshuru Mungu ni jambo jema sana na lina faida chanya."wana heri wao wanaoshukuru kwani kipimo cha afya na mafanikio yao huongezeka na kupata baraka".I love u ma lovely wife,mwaaaah!
 
Tuliolala na wake zetu, tunapaswa kumshukuru Mungu hatukufa kwa presha wakati tunalalana nao huku tukiwananiliu.

Waliolala na waume zao wanapaswa kumshukuru Mungu waume zao hawakuRIP wakati wakiwananiliu. Wamshukuru sana Mungu pia kwa kuongezewa protini miilini mwao bila kuzilipia.

Waliolala na wazinifu wenzao wanapaswa kumshukuru Mungu kwa kuwakumbusha kutumia kondom, ila wasisahau kumshukuru kwa naniliu zao kutonasiana (hasa wale wezi wa wake za watu). Lakini pia wasisahau kutubu zambi waliyotenda.

Wengine wooote wa kiume wanaojingonoa wenyewe wazishukuru sabuni zilizowasaidia, wa kike sijui wazishukuru ndizi? Mi sijui.

Waliolala upweke washukuru mito iliyochukua nafasi ya waliopaswa kulala nao.

Mpenzi Kaunga mambo? Imekuwaje leo umedamka mapema na kuibukia MMU?
 
Last edited by a moderator:
Amein for all who believe in GOD.

May his bless be with u all the time
 
ASA
Nimeamka mapema ili niwakumbushe KUSHUKURU, na nani anastahili kushukuriwa ndani ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki zaidi ya Mwenyenzi Mungu?

Lakini pia Asprin pamoja na kutia humor kwenye shukrani zako, nashukuru umetukumbusha wazinzi kutubu!

Stay blessed!
 
Last edited by a moderator:
Waoo!That's why i love u mama watoto wangu!Nakupenda kwa sababu unajua kushukur.Lakini zaidi sana,unamkumbuka Muumba.. . . . . Uliyosema ni kweli,kumshuru Mungu ni jambo jema sana na lina faida chanya."wana heri wao wanaoshukuru kwani kipimo cha afya na mafanikio yao huongezeka na kupata baraka".I love u ma lovely wife,mwaaaah!

Amen, l thank and l love you unconditionally!
 
I thank the Lord for reminding me I am obliged to Thank thee
through your child, my fellow member Kaunga.
And I say "AMEN" as she demands and as it is rightly so.
 
ASA
Nimeamka mapema ili niwakumbushe KUSHUKURU, na nani anastahili kushukuriwa ndani ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki zaidi ya Mwenyenzi Mungu?

Lakini pia Asprin pamoja na kutia humor kwenye shukrani zako, nashukuru umetukumbusha wazinzi kutubu!

Stay blessed!
Khaaa.....!

Well noted.:yo::lalala:
 
umeanza fitna zako lol
ya konnie muachie konnie lol
u sound like you are missing me lol

Just a little concerned about you, coz ur signature shows u a little unlucky in love.
"so many relationships but so little love"
 
Back
Top Bottom