Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

Basi jiandae usipoonekana humu kwa muda wa siku 3 bila kutoa taarifa au mchango wako kuonekana humu unavuliwa cheo
Ndio masharti ya cheo ulichopewa
[emoji15][emoji15][emoji44][emoji36][emoji36][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kwa mimi hata ungekuwa president trumph member ni sawa. Maana ukisoma post zako zote. Unachagua kuwa mchawi haswaa au kumtafuta Mola haswaa.
Hongera sana brother, hongera jf team kwa ujumla
[emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298]
 
Back
Top Bottom