Kushukuru na kuaga...

Kuna watu wako adikted kiasi kwamba wakiwa bize sana wanamwomba Invizibo awapige BAN la hiari.

Waweza chukua staili hiyo, lakini si kuondoka mazima.

Ukiondoka ntalia. Na machozi ya babu ni mafuriko kwa mjukuu. Unapenda mafuriko weye?

Hee babu kwani mi nimesahau enzi za Elnino??? mi staki kabisa kusikia mafuriko....

Mjukuu anarudi taratibu jamvini.... Mjukuu ame-sarenda kwa Babu...
Bora ale ban (adhabu) kuliko kukaribisha mafuriko (machozi ya babu)
 
Hiyo Post Via Mobile bado uko kwenye ile gesti yako ya Tandale Uzuri?

Hiyo ndo adiksheni sasa, watu wanajivinjari na MMU sruu mobail foni. Betri mbili full charge ziko mfukoni incase of anything.

Babu tumempata "addicted" mwingine....
Huyu aombe ban... hali yake mbaya huyu...kama yangu...
 
We acha tu Bigi...nimekalishwa chini...natibiwa... na babu...leo mpaka kieleweke..mpaka nipone...
Ikishindikana ndo niondoke...

Babu hajawahi kushindwa.

Kama unabisha sema SUU!
 
hahahahahhha mnafurahisha :clap2::clap2::clap2:

lol, kunywa bia.. maji yana bacteria!!! hhhhahah

Ikunda huyo ndo babu bwana...ushauri wa babu sio ombi ati? wajukuu wote maji tumeweka pembeni....
Babu huwa anatuletea habari za "kiinteligesia" kama hizi...basi wajukuu tumampenda babu...
ILA MJUKUU MMOJA HAPA YUKO ADDICTED....
so Babu anatoa msaada...
 
like you never said GOODBYE......!:coffee:
 
Hee babu kwani mi nimesahau enzi za Elnino??? mi staki kabisa kusikia mafuriko....

Mjukuu anarudi taratibu jamvini.... Mjukuu ame-sarenda kwa Babu...
Bora ale ban (adhabu) kuliko kukaribisha mafuriko (machozi ya babu)

Sentensi tamu kama hizi zina hitaji hii:

The Following User Says Thank You to Leney For This Useful Post:

Asprin (Today)

Hebu nisomee hapo kwa kiswahili tafazali.
 
like you never said GOODBYE......!:coffee:

Like I never posted the thread...LOL
Ndo ujue mtoto nna addiction.... mara hii nimesahau kama niliaga...
But am serious though...am addicted.....
kahawa? no? I have learnt my lesson the hard way... "DONT DRINK JF KAHAWA"
 
Sentensi tamu kama hizi zina hitaji hii:

The Following User Says Thank You to Leney For This Useful Post:

Asprin (Today)

Hebu nisomee hapo kwa kiswahili tafazali.

"Mtu MUHIM sana kwenye jamvi anasema asante kwa andiko lako tam tam"
 
Like I never posted the thread...LOL
Ndo ujue mtoto nna addiction.... mara hii nimesahau kama niliaga...
But am serious though...am addicted.....
kahawa? no? I have my lesson the hard way... "DONT DRINK JF KAHAWA"

kuna wimbo mmoja wa WHITNEY HOUSTON na AKON kama sikosei unaitwa LIKE I NEVER LEFT jaribu kuusikiliza nadhani unakufaa sana
 
Aka hasemi mtu suuu...

With serious note:

Babu anatoka jamvini akamtumikie mkoloni wake kwa moyo wake wote....

Ukifanya masihara hapa utaishia kwenye keyboard, mkoloni takufukuza kazi watoto watakula posts zako kwenye MMU.

Nacheki na invizibo ani BAN mpaka saa tisa mchana.

Kwaherini kwa mpigo!
 
babu huyu ana busara hadi kupendwa na wajukuu zake, hongera babu.
 
Jamni babu mi nalia hapa....
Babu we nenda, mkoloni asipate sababu...
Mi mjukuu wako utanikuta tu babu....Like I never said Goodbye...
Asante Babu (addicted babu wangu)
 
haha!wat a post,,,lol
 
Babu leo kanitungia mashairi...
amesema nitafte shahidi...na mi napendekeza wewe apo...
uhakikishe babu ananitoa kwenye addiksheni...

nakubali kuwa shaidi leney,kwa sharti moja tu la kutokuondoka
 
Lakini we wiselady hunipendi... babu alivo addicted hivo, si atanifundisha na kukesha kabisa??? (usimwambie kama nimekwambia)
 
duu!kweli JF ni kama family...hope utakuwa una-appear kwenye jf live chat
 
duu!kweli JF ni kama family...hope utakuwa una-appear kwenye jf live chat

Tena mbona hii ni familia tosha kabisa chelenje??? na we pia mtoto wa familia hii...
Huko chat ndo hata staki kuthubutu... yaani hata inavofanya kazi staki kujua, maana hiyo itakuwa addiction bin addiksheni...
 
haha!wat a post,,,lol
Kagonge senksi fasta!

Lakini we wiselady hunipendi... babu alivo addicted hivo, si atanifundisha na kukesha kabisa??? (usimwambie kama nimekwambia)
Hajanambia bado, ila akija kwenye ukaguzi ataning'oneza.

Tena mbona hii ni familia tosha kabisa chelenje??? na we pia mtoto wa familia hii...
Huko chat ndo hata staki kuthubutu... yaani hata inavofanya kazi staki kujua, maana hiyo itakuwa addiction bin addiksheni...
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…