Kushukuru na kuaga...


Hee Gsana we unacheza....hivi hizi threads zote hum kwa siku waweza zisoma for 7 mins? kuna thread wewe zina page nyingi? halafu hapo unakuta ziko realtime...yani watu bado wanaendelea kuchangia...na pia mi napenda sana kuchangia....yani sometimes hadi najizuia nisichangie...

Hata mi bado nawapenda..si unaona hata kupack mabegi yangu bado? nipo naaga tu....
 

Yaani huwezi amini since 2007 nilivojiunga nilikua naingia tu jukwaa la siasa nacheck news naondoka...Yani aliyenishawishi nianze kufungua na majukwaa mengine ndo mbaya wangu...LOL

Babu hapa ananishawishi we huoni ma-shairi alonitungia mjukuu wake???
I just hope to cut it out for sometime...maana nimewazoea sana sasa mpaka nawaota...utafikiri tunaishi nyumba moja...
mda ukipita bila kuona posts zenu nzuri..nitawasahau kidogo then I will come back....
Thanks for making this place wonderful for me.....
Ntamiss posts zako, maana zinakwalifai ku-stand alone as a forum...very composed...naomba nisiendelee nisije kujikuta nabaki..LOL
 

hahaha...eti senks moja ya babu ni kama mia za wajukuu.... sasa mbona sikioni kitufe cha senksi babu??
hiyo bongo fleva ni noma...
Huyo ndo babu bwana...kachanganya bongo fleva na mapambio...LOL
hilo kanisa usifungue wanakwaya wasije kuwa wanaimba bongo fleva....

Mi babu naona niondoke...ila niondoke na wewe uwe unanitungia mashairi...
 
Leney uliandika hivi, Msisitizo kwenye bold.

Babu nikafurahi kama hivi:


Mara tena ukageuka hivi, msisitizo kwenye bold


Babu anashindwa kukuelewa sasa.

UNAFANYA GANI LENEY?
 

hahah..we mkali..eti naenda bungeni..jamani we geophysics hurumia mbavu zangu...
nimesema na sa ivi bunge limeanza so posts zinaongezeka maana kila kukicha humu jamvini tutakuwa tunajadili ishu za bunge na mengineyo ya kujadili yanabaki palepale....
We huoni jana tu siku ya kwanza bungeni lakini imezaa sijui posts ngapi???

Yea, ntakuwa siingii kabisa mpendwa wangu...
mi nawahitaji nyie zaidi yani..maana kila kitu kipo JF...yaani we niambie kitu ambacho hakipo hapa...
sasa addiction nyingine tena??? si ntakuwa sijatibu tatizo...
 
Na hapa Leney ukasema hivi, msisitizo kwenye bold.

Na hapa tena ukageuka kauli yako kama hapo kwenye bold.

Babu anauliza tena:

UNAFANYA GANI LENEY?

 
Leney uliandika hivi, Msisitizo kwenye bold.


Babu nikafurahi kama hivi:



Mara tena ukageuka hivi, msisitizo kwenye bold



Babu anashindwa kukuelewa sasa.

UNAFANYA GANI LENEY?

hahaha... Babu si nimeona niondoke ila tuondoke wote???
Kwani Babu mwanzo si ulisema unaweza acha ugoro tukaondoka wote, au?
 
Na hapa Leney ukasema hivi, msisitizo kwenye bold.


Na hapa tena ukageuka kauli yako kama hapo kwenye bold.


Babu anauliza tena:

UNAFANYA GANI LENEY?


Babu hapo ndo ujue mjukuu wako yuko kwenye dilemma... anachanganya changanya tu madesa....
Oooohhh...mjukuu will now miss Babu even more than before...
 
hahaha... Babu si nimeona niondoke ila tuondoke wote???
Kwani Babu mwanzo si ulisema unaweza acha ugoro tukaondoka wote, au?

Hahahaha....babu liko adiktedi kiasi kwamba linalala na laputopu yake kitandani. Likipata naitimea, linaibukia JF jukwaa la MMU!

Niko vere vere adikted, anayeweza kunitoa hapa ni ziraili mtoa roho au TANESCO wakiondoka na nishati yao. Nimeagiza jenereta kwa ajili ya JF.
 

Baaabuuu...usinichekeshe bwana.... mi nna huzuni ati....
Nilikuwa nashangaa mi mbona sijawahi kuwa addicted before... kumbe Babu yuko addicted so anatutungia posts nzuri zinatufanya nasisi tunakuwa addicted....sio vizuri hivo babu...

Makubwa...MMU ina cure/ au inatuliza naitimeaz za babu....babu siku nyingine ukipata naitimea hebu jaribu kukimbilia jukwaa la JF Doctor... linakusaidia sana...Hahahaha..uanze tu...from no where...hahahah
 

tatizo kompyuta yangu nimeiseti inafungua MMU tu....
Nkigonga jukwaa la Siasa, inazimika
La Doctors, inapiga shoti
La Sheria screen inakuwa nyeusi,
La Maria Roza, inaibuka Picha ya Yesu.

La MMU.....tabasamu na vidole vinakimbilia kwenye keyboard hata kama nimepigwa POP.

Turudi kwenye mada:

Hashukuriwi mtu hapa.....Haagwi mtu hapa kwakuwa Leney ni adikted kwenye MMU....Kama unabisha tupinge au sema SUUU!
 

yote tisa, kumi ni kupiga shoti... basi babu usiende tena kwenye JF Doctors...tutapata hasara ya laptop...na tumeagiza generator....
Babu sasa hapo kwenye red unanionea...yani nikama kuniuliza one plus plus.... mi babu sisemi SUUU (LOL) wala sipingi...maana nimeshazama kwenye hilo jukwaa (na yote umesababisha wewe)....ila taratibu tu ntaacha... na leo ndo siku ya kwanza kuacha...

Leney is leaving all the addictions for Babu....Leney is going to seek help...
But Babu is even buying a generator....to get more addicted....
 

Hahaha...ngoja nikatafute dikshenare ya english-swahili. Si wengine tumeishia fomu foo B shule za sekendari za kata. Hicho kingledha hakikuwa kwenye silabasi zetu. Tuliishia kwenye gudimoning ticha...... sit daun.... we are sitting daun senkyuu ticha.

With Serious note: Usiondoke bana!
 

Usinitanie...wakati we babu yangu ndo peke yako unaerusha kimombo pale mtaani kwetu...basi watu full kuniangalia..kisa? Babu yangu anjua kidhungu...LOL

Sasa Babu nishauri nifanye nini??? sijui niset na mimi laptop yangu nikiingia tu MMU ipige shoti??:thinking::thinking:
 

Leney anapata psychosocial support hapa kwa Biggie.
 

Kuna watu wako adikted kiasi kwamba wakiwa bize sana wanamwomba Invizibo awapige BAN la hiari.

Waweza chukua staili hiyo, lakini si kuondoka mazima.

Ukiondoka ntalia. Na machozi ya babu ni mafuriko kwa mjukuu. Unapenda mafuriko weye?
 
Leney anapata psychosocial support hapa kwa Biggie.

Hiyo Post Via Mobile bado uko kwenye ile gesti yako ya Tandale Uzuri?

Hiyo ndo adiksheni sasa, watu wanajivinjari na MMU sruu mobail foni. Betri mbili full charge ziko mfukoni incase of anything.
 
hahahahahhha mnafurahisha :clap2::clap2::clap2:

lol, kunywa bia.. maji yana bacteria!!! hhhhahah
 
Leney anapata psychosocial support hapa kwa Biggie.

We acha tu Bigi...nimekalishwa chini...natibiwa... na babu...leo mpaka kieleweke..mpaka nipone...
Ikishindikana ndo niondoke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…