Naona tatizo hasa lilianza 1985...
Tuna ndege 11 tume nunua cash na vituo 300 vya afya.
Mkuu ukiipata video yake naomba unitumie PMNitakuja kujibu baadae ngoja kwanza nimfuatilie huyu msanii menina video zake chafuu
Hapa kazi tuTuna ndege 11 tume nunua cash na vituo 300 vya afya.
Na korosho bado zimejaa kwenye maghala, hatutaki ujinga sisiHapa kazi tu
Elimu bure, hospitali kila kijiji, mabalabala nchi nzima, ma fraiova, kuna ristandadigeji linajengwa, stigrajoji na yenyewe ishaanza kujengwa, mashure kira siku yanajengwa, pesa ya serikali haichezewi hovyo na wapiga diri kama zamani.
maendeleo hayana chama
Ndio tunazo na vituo vya afya tunavyo ulitaka tukusaidie nini?Tuna ndege 11 tume nunua cash na vituo 300 vya afya.
Kwenye kolosho hao wanaitwa sijui makambaga walikua wanawazulumu wakulima hakika serikali yetu sikivu inayowajali wananchi wake imekomesha unyonyaji kwa wakulima wetu.Na korosho bado zimejaa kwenye maghala, hatutaki ujinga sisi
Tumeshindwa kupeleka watoto shule kangombacalikuwa mwokozi wetuKwenye kolosho hao wanaitwa sijui makambaga walikua wanawazulumu wakulima hakika serikali yetu sikivu inayowajali wananchi wake imekomesha unyonyaji kwa wakulima wetu.