MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,319
- 43,923
Acheni kuleta siasa kwenye elimu. Mwenye kuanzia degree ni mtu wa kuheshimika haijalishi ana hela au hana. Watu wanaobeza elimu ni kwamba wanaitamani sana wawe nayo ila ndo hivyo huwezi kuikuta dukani inauzwa. Ajira ziwepo au zisiwepo bado elimu ni muhimu. Na mabadiliko hayawezi kutokea endapo tutakuwa taifa la watu wasio na elimu. Hata kama una hela lakini elimu huna jitahidi uipate.