geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 45
habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series , unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor , ambapo simu zenye specifications hizo ziliuzwa bei kubwa sana lakini sasa zinauzwa 95,0000 hadi 100,000 je tatizo nini na kuna mapungufu gani katika simu hizo? Kwa wataalamu tujuzeni tuelewe.
Natanguliza shukrani zenu wakuu uzi utembee huu
Natanguliza shukrani zenu wakuu uzi utembee huu