Mapuya tele, kitu kinaonekana sio kikali
Mbona umereply kama huoni?
Bulldog umenitukana. Kweli hapakuwa na picha baadaye ndio nikaona picha imewekwa. Take it from me! Kidogo nina kauelewa kadogo ka mambo ya IT, hivyo siwezi kushindwa kuona picha kama ipo!