Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
Habari wanaJF?
Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano.
Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya.
Je! Kuna namna yoyote ya kuwashtaki hizi kampuni za mikopo kwa usumbufu wa sms zao za mara kwa mara na kuwadai fidia?
Nimechoka na hizi sms zao yaani