Kushirikiana, kwa wengine ni vipi?ama nitakosea.....

Kushirikiana, kwa wengine ni vipi?ama nitakosea.....

Nawewe acha kupangia hela za mkeo,wekeza kwenye biashara ulishe nyumba,kuwa baba na Mungu atakubariki,mi sioni kama sahihi .

Nimewekeza sana tu, kilichonisukuma nifanye hivyo ni malumbano na kuona hakuna ninachokifanya labda sasa tukishirikiana atapata uzoefu wa ugumu wa mambo yenyewe na heshima itarudi.
 
Nawewe acha kupangia hela za mkeo,wekeza kwenye biashara ulishe nyumba,kuwa baba na Mungu atakubariki,mi sioni kama sahihi .

Usiwe mwepesi kuelezea na kuchangia maongezi ya kunguni wa kitanda ambacho hujawahi kukilalia

Kama kushirikiana na mkewe unaona sio sahihi msaidie namba ya dadako.....mamdogo au hata shangazi yako ili wajadiliane juu ya mustakabali wa familia yake

They say "family is a primary and very basic unit for both production and consumption purposes"
 
Kuna ndoa za ajabu jamani?
Achana nae kabisa
 
So sad . .
What for?

Sipendi ku-pruvu hii kitu kwa mme.
Hadi kufikia kuolewa naye, tuwe 'wawili in one' nikijua kabisa nilihitaji mtu wa kufanya maisha yaende kirahisi
Sasa leo natakiwa ku-pruvu I can walk alone, why? Sasa ndoa ya nini?

Si bora niwe celibate tu?
Aisee ndoa ngumu, ngumu kuliko chuma.
Yaan unatakiwa umpe holiday mpaka aone kabisa kuwa you can walk alone.....sometimes hawa watani wa jadi huwa wanapima kujua kama you can on your own
 
So sad . .
What for?

Sipendi ku-pruvu hii kitu kwa mme.
Hadi kufikia kuolewa naye, tuwe 'wawili in one' nikijua kabisa nilihitaji mtu wa kufanya maisha yaende kirahisi
Sasa leo natakiwa ku-pruvu I can walk alone, why? Sasa ndoa ya nini?

Si bora niwe celibate tu?
Aisee ndoa ngumu, ngumu kuliko chuma.
kuna ndoa bongo????
bongo ni harusi tu na mipete mkononi ndoa ni chache mno
 
So sad . .
What for?

Sipendi ku-pruvu hii kitu kwa mme.
Hadi kufikia kuolewa naye, tuwe 'wawili in one' nikijua kabisa nilihitaji mtu wa kufanya maisha yaende kirahisi
Sasa leo natakiwa ku-pruvu I can walk alone, why? Sasa ndoa ya nini?

Si bora niwe celibate tu?
Aisee ndoa ngumu, ngumu kuliko chuma.

Dada Konnie.......how are you kwanza

Hio ndo khaswa tafsiri ya ndoa ulotoa hapo juu "all for us in everything" sasa mtu anapotaka kukufanya ndondocha as if yeye ndo alikufunga nepi utotoni the best way ya kumfanya ajue kuwa union was delibarate for deliberate purposes....... ni kumfanya aone kuwa hata bila ya uwepo wake wewe unaweza kuishi and thus mlioana ili kufanya mambo rahisi zaidi but sio kuwa wewe huwezi on your own

Au we ulikuwa na maoni gani.........
 
Back
Top Bottom