wanachadema wenzangu sasa ni wakati wa kutafakari bavicha ni taasisi iliyo zaidi ya mtu heche tumempa nafsi asukume mbele gurudumu la bavicha anaposhindwa hatumsemi kama heche ila kama m/kiti wa chama hivyo uzi wangu haujamlenga heche personal ila kama mkuu wa tasisi yetu muhimu if he cnt deliver he should resign leo tunasema ccm inashindwa kwa kuwa na uongozi dhaifu tukiona wa kwetu nao dhaifu tuseme tusiwe waoga wa kusema ukweli
Huna haja ya kutumia ID tofauti tofauti kwenye thread yako mwenyewe.
Sometime unaweza kudhani CDM hawana good will kuleta mabadiliko. Akina mama wamekuwa na chachu kubwa ya ushindi kwa CCM kupitia UWT lakini CDM haioni haja ya kuiimarisha BAWICHA ili ilete challenge. Wadau wengi wamekuwa wakilalamikia hili lakini hakuna mabadiliko. Muda umefika sasa CDM wachukue hatua
Kwanini heche anatumia jina la kaka yake.!!!heche haitwi john heche...john heche ni jina la kaka yake ambaye amemaliza st.agustine mwanza
heche ametumia jina la kaka yake kupenya kwenye tundu la kupata uongozi.
Ndio maana kwenye hoja yangu ya awalo nimesema heche hatembelei chaso kwasababu anaogopa kuzungumza na wasomi??
Mkuu tafuta kazi ya kufanya.Huu ujinga wa kuwa na ID feki zaidi ya kumi hautakusaidia wewe wala hilo kundi lako la kitapeli.
Mnachokijua ni kukimbilia Facebook kila siku na kuwatukana matusi ya nguoni viongozi wakuu wa CDM.Adui yenu mnayemjua ni Mbowe,Dr Slaa na Heche.Mbinu zenu kamwe hazitafanikiwa.
Umeona yale majungu uliyoleta dhidi ya Mbowe hapa jamvini umepuuzwa leo ukaibuka na majungu dhidi ya Heche na kesho utamuibukia Dr Slaa.Pole sana.
Ukiona wanamagamba kama Ritz wanatoa ushauri juu ya chadema ujue panga na marungu ya heche yamewajeruhi,kifupi nilimkuta heche hapa iringa mjini akichapa kazi,sumbawanga na mpanda na pande zote za tanzania je mwanamagamba wewe unashinda wapi sijui mpakaunakuja uharo ha jf
Mkuu acha wivu,huyu jamaa ni jembe na wanachadema wengi wanamkubali.Mimi sina shaka naye kwa kuwa unamponda,ningekuwa nashaka naye kama ungekuwa unamsifia!!Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
Hakuna makundi mkuu,kuna nyoka wa ndimi mbili!Kumbe Chadema nako kuna makundi.
Nape ameshatoa matamko mangapi mpaka sasa?Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
naheshimu mawazo yako,lakini kwa mtizamo wangu heche ni jembe sio mchezo!tatizo lenu mnaongozwa na mahaba binafsi juu ya chama hamtaki kuambia ukweli kwa halii hii ya kutopenda kuambiwa ukweli hatuwezi kuendelea
Waliniambia siku nyingi kuwa huwa unatumiwa sana na CCM nikakataa, nikaambiwa kuwa uliuza jimbo 2010 mkoani Mbeya nikakataa kwa vile unavyoonekana mpiganaji nisingekutarajia utoe kauli kama hizi NIMEAMINI, unatumiwa na ccm na uliuza jimbo na ni laana moja kwa moja hutakuja kuwa mbunge_zitto hana muda wa kupotea kabisa na huu upuuzi wako.
Muulize heche ni namna gani zitto kamsaidia ...kimsngi heche na zitto ni maswahba sana ndio maana zitto kamwachia gari heche la kufanyia kazi.
Kumhusisha zitto ni kupoteza muda wako bure...zitto sio type yako.
Kuna Kibaka anayesema ukweli?
Huwa namwona TUNTEMEKA kama mtu anayeweza hata kumuuza mkewe kwa kumtetea zitto na kuichafua CDM..kaja na ID nnyingine.
nakupa baadhi ya taswira na picha mbalimbali za matukio yanayomhusisha ama kuashiria utendaji kazi bora wa heche akiwa maeneo mbalimbali ,Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.
Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana
Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.
Nawasilisha