iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 221
Mkuu tafuta kazi ya kufanya.Huu ujinga wa kuwa na ID feki zaidi ya kumi hautakusaidia wewe wala hilo kundi lako la kitapeli.
Mnachokijua ni kukimbilia Facebook kila siku na kuwatukana matusi ya nguoni viongozi wakuu wa CDM.Adui yenu mnayemjua ni Mbowe,Dr Slaa na Heche.Mbinu zenu kamwe hazitafanikiwa.
Umeona yale majungu uliyoleta dhidi ya Mbowe hapa jamvini umepuuzwa leo ukaibuka na majungu dhidi ya Heche na kesho utamuibukia Dr Slaa.Pole sana.
tatizo lenu mnaongozwa na mahaba binafsi juu ya chama hamtaki kuambia ukweli kwa halii hii ya kutopenda kuambiwa ukweli hatuwezi kuendelea
Mtasugua sana visigino kwa umbea wenu umetumwa na kina ZZK na kundilake
unaupima vipi uwezo ama utendaji wa Heche?wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana heche katika kusukuma mbele zajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
"kuwaunganisha" ki vipi? ama unaota!kwa mtazamo wangu mh heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule
mpaka sasa kafanya ziara na mikutano mingapi? ok kashatoa matamko mangapi mpaka sasa? unaweza kutukumbusha la mara ya mwisho lini?mh heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijanamh heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na mwita mwikabe kwenye ubunge jimbo la tarime na sio kusimamia baraza la vijana
hoja yako anafanya kwa maslahi binafsi? andiko lako mbona ndio la kibinafsi zaidi? Jina HECHE umelitaja mara ngapi? REDmh heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie bavicha dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya ccm
natoa maoni yangu kama mwanachadema heche yupo busy kutaka kumharibia mandevu mwita akili yake haiwazi zaidi ya ubunge
amekosa mbinu mbadala za kuimarisha bavicha
naikumbuka bavicha ya mh mnyika
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
wewe ndo una mahaba kama sio una bifu binafsi na Heche, tunamuona mara kwa mara heche anazunguka mikoani na anakusanya watu ambao hata raisi wako akienda mikao hiyo wafiki kiasi hicho, heche ana punch na anapangilia vizuri kuongea leo unasema Heche kashindwa.. we tuambie kashindwa nini.......watu kama ninyi sijui mnatokea wapi