iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 221
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.
Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana
Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.
Nawasilisha