Kushindwa kuzuia mkojo

lema prince

New Member
Mar 2, 2012
4
20
Ni kijana wa miaka 38, tatizo langu kubwa ni kushindwa kuzuia mkojo hasa nyakati za baridi au nikinywa maji mengi, sikua hivi mwanzo lakini nashindwa imetokana na nini. Mkojo unakuja kwa ghafla sana kias kwamba kama upo mbali na mazingira ya kujisitiri haja basi unapenya kidogo au sana , nashindwa kuelewa wana jamvi wenzangu mnisaidie ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Wansegamila

Verified Member
Feb 3, 2012
2,334
2,000
Ni kijana wa miaka 38, tatizo langu kubwa ni kushindwa kuzuia mkojo hasa nyakati za baridi au nikinywa maji mengi, sikua hivi mwanzo lakini nashindwa imetokana na nini. Mkojo unakuja kwa ghafla sana kias kwamba kama upo mbali na mazingira ya kujisitiri haja basi unapenya kidogo au sana , nashindwa kuelewa wana jamvi wenzangu mnisaidie ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa hilo tatizo. Sio tatizo la kulichukulia kirahisi rahisi hata kidogo kwa kutaka kupewa ushauri mitandaoni. Kwa umri wako wa miaka 38, hatutegemei upate shida ya aina hiyo, unless there is really something wrong which has to be taken care mapema before its too late.
Uko mkoa gani? Nakushauri utafute appointment ukaonane na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo (urologist); aweze kukuona, kukufanyia vipimo na kutoa ushauri na matibabu kadri ya assessment yake. Fanya hivyo haraka iwezekanavyo. lema prince
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom