Kushindwa kufikia Kilele cha Mlima Kilimanjaro

Kushindwa kufikia Kilele cha Mlima Kilimanjaro

mpasuajipu99

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
678
Reaction score
120
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kutokana na ama kutojua staili au kuwafikiria zaidi wanaume wawapo kwenye majambozi kitu ambacho huwafanya wasifurahie tendo la ndoa wawapo na wenzi wao.

Zipo staili nyingi za kuweza kufurahia mchezo huu lakini kwa leo tuzungumzie staili mojawapo itakayowafanya nyote mfurahie majambozi na nyote mvishuhudie vilele vya mlima Kilimanjaro.

Miguu ya mwanamke mabegani pa mwanaume:

Mwanamke anapaswa kuwa mwepesi ili aweze kupata raha ambayo wengi huishiwa kusimuliwa na mashoga zao na mbaya zaidi wengi huongeza chumvi kuwarusha roho wenzao! Wepesi utakuwezesha wewe mwanamke pindi utakapokuwa umelala kifo cha mende kuinua miguu yaki juu huku ikiwa imeyengeneza alama ya V huko dereva akiwa tayari kwa kuianza safari, taratibu kunja sehemu ya magoti kisha yapeleke magoti yako kifuani na ili usichoke ama kuumia kwa zoezi hilo basi egesha miguu yako kwenye mabega ya dereva wako.

Hivyo ili nyote muweze kufika safari yenu inabidi mwanamke awe makini kuhakikisha haachwi njiani na dereva (madereva wengi huwa na papara ya kufika kileleni na kuwasahau wenza wao) na mbaya zaidi huwaacha wakiwa na muhemko wa hali ya juu na hii ndio sababu mojawapo ya midume mingi kuliwa zabibu zao.
 
Samahani mleta mada! Mada hii haifai kuwa hapa hadharani. Ipeleke faraghani kidogo kule JLW.
Mods, msaidieni kuihamishia kule.
 
Samahani mleta mada! Mada hii haifai kuwa hapa hadharani. Ipeleke faraghani kidogo kule JLW.
Mods, msaidieni kuihamishia kule.

hiachwe apa apa angeweka picha sawa. lakin kama ni maneno tu ayana tatizo. mbona siku hizi ni kawaida sana hiyo ata kila blog na magazet pendwa yako.
 
Back
Top Bottom