Kushinda kwenye PM

huwa nakufagilia ila hyo signature yako inanichefua sana
 
duh!!! hii platfoam ya mambo ya mapenzi kumbe nayo ina wapenzi balaa! nimeamua nipite tu mara moja mana jf ni kama korokoro la kuvulia samaki wajinga wamo,welev,wenye akili nusu n.k. mimi huwa nashinda sana kwenye platfoam mbili tu NAFASI ZA KAZI NA AJIRA, NA ILE YA TECHNOLOJIA, NA MAMBO YOTE YA ICT KARIBUNI HUKO WADAU.......................................
..........................NAOMBA KUWASILISHA............................
 
Kuna mwingine huyo siku hizi anashinda sana PM na jamaa ambaye ana 'crush' naye tokea kitambo......

Watu wanadhani kapotea sana kumbe yupo.

Anamshindisha jamaa hadi usiku wa manane (maana wako mabara tofauti).

Yaani we acha tu.

habari za kidukuzi hizi...
 
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
du!!! kamanda kumbe upo !!!! si mchezo haijakulenga kweli ulipotea kidogo
 

Samahani, hivi huwa mnacheza mechi huko?
 

Nenda kunakokuhusu katafute ajiira.
 

Duuuh, hatari.

We ndo unaetoa ajira au unatafuta ajira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…