Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,118
- 136,859
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele
kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol
kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
Kuna watu wanashangaza sana. Yaani mtu umejiweka invisible humu halafu huchangii kwa sana siku hizi lakini kila siku unashinda kwenye PM.....
Ama kweli facts sometimes are stranger than fiction.
Kila ukitokea mara chache chache watu wanakuuliza mbona umepotea hivyo....kumbe wapi! Upo kila siku lakini unashinda kwenye PM na yule nanii....:smile-big:
Kaazi kweli kweli.
Kuna mwingine huyo siku hizi anashinda sana PM na jamaa ambaye ana 'crush' naye tokea kitambo......
Watu wanadhani kapotea sana kumbe yupo.
Anamshindisha jamaa hadi usiku wa manane (maana wako mabara tofauti).
Yaani we acha tu.
Haaaaa haaaaa haaaaa... Dalili za kuporwa hizo!
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!....ndio maraha ya JF hayo 🙂🙂
mtoto alikudondokea huyo! usiseme tu huna bahatidah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele
kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol
kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
mtoto alikudondokea huyo! usiseme tu huna bahati
mi naogopa pm sana
pm majaribu matupu!
mi naogopa pm sana
pm majaribu matupu!
... Aidha kushinda kwenye PM ni kudumisha mapenzi ya mbali kwa mbali!