Kusema ukweli, sasa hivi nchi yetu ni kama haina uongozi kabisa!

Kusema ukweli, sasa hivi nchi yetu ni kama haina uongozi kabisa!

Preciousvision

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2026
Posts
559
Reaction score
710
Tarehe 01 May LATRA ilitangaza nauli mpya ila wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea kuanzia 50%, mfano Arusha-Babati nauli ilikuwa sh 10,000 sasa hivi sh 15,000 na hakuna cha LATRA, Waziri waziri mkuu na Rais ndiyo amejificha, je tuna uongozi.

Daladala njia ya Arusha-Kikatiti nauli ilikuwa sh 1500 sahivi sh 2000, kituo kwenda kituo badala ya sh 500 sahivi sh 1000. Morombo nauli sh 500 leo sh 1000 hiyo ni nyongeza ya asilimia 100, je hapo tuna uongozi?

Sasa hivi umeme unaweza kukatwa tu bila taarifa hakuna kiongozi anaweza kutusaidia, km jioni hii kuanzia saa 12 Arumeru-Arusha mpaka sahivi bila sababu na Meneja haogopi kwani nchi haina uongozi, tuna wakati mgumu sana miaka hii 5!
 
Ingekuwa kipindi cha mwamba Magufuli wamiliki wa vyombo vya usafiri wasingejaribu kujiongezea nauli, angetoa kauli moja kuwa km hutaki nauli ya serikali chombo chako kitumie kubebea mke na watoto wako na mengi angeyafuta leseni.

Sasa hivi wenye vipesa ndiyo wanaendesha nchi na hakuna wa kuwafanya kitu, nchi itapigwa sahivi na watu wa hali ya chini watateseka sana mpaka wengi watakufa kabla ya siku zao! Huyu Rais ni hamna kitu, kwanza kuwa tu mwanamke ni dhaifu sasa unganisha na udhaifu wake binafsi tumekwisha!

Hebu angalia mtu km Prof. Mbarawa Mnyaa pale wizara wa uchukuzi ni waziri au ni jambazi wa kuvizia pesa kwa kusaini mikataba ya ujenzi wa viwanja vya ndege, bandari, meli na SGR? Mlimwona lini akiongelea changamoto ya usafiri na usafirishaji nchini? Na naibu wake naye yupo tu km bwege!
 
Ingekuwa kipindi cha mwamba Magufuli wamiliki wa vyombo vya usafiri wasingejaribu kujiongezea nauli, angetoa kauli moja kuwa km hutaki nauli ya serikali chombo chako kitumie kubebea mke na watoto wako na mengi angeyafuta leseni. Sasa hivi wenye vipesa ndiyo wanaendesha nchi na hakuna wa kuwafanya kitu, nchi itapigwa sahivi na watu wa hali ya chini watateseka sana mpaka wengi watakufa kabla ya siku zao! Huyu Rais ni hamna kitu, kwanza kuwa tu mwanamke ni dhaifu sasa unganisha na udhaifu wake binafsi tumekwisha! Hebu angalia mtu km Prof. Mbarawa Mnyaa pale wizara wa uchukuzi ni waziri au ni jambazi wa kuvizia pesa kwa kusaini mikataba ya ujenzi wa viwanja vya ndege, bandari, meli na SGR? Mlimwona lini akiongelea changamoto ya usafiri na usafirishaji nchini? Na naibu wake naye yupo tu km bwege!
Ujinga ,chuki binafsi na ubaguzi ndio vinavyokusumbua hasa baada ya kuona Mheshimiwa Rais anakubalika kwa kiwango kikubwa
 
Yaani tumepigwa na kitu kizito sana. Ila hii kitu imeniaminisha kwamba uelewa wa watanzania bado sana. Ingekuwa nchi nyingine huyu mama hasingekuwepo hadi leo.
Wewe ndiye ungekuwa haupo . Watanzania wanajielewa vizuri kabisa na wanatambua kuwa Rais Samia anafanya kazi kubwa ya kuwainua kiuchumi na kuboresha Maisha yao
 
Tarehe 01 May LATRA ilitangaza nauli mpya ila wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea kuanzia 50%, mfano Arusha-Babati nauli ilikuwa sh 10,000 sasa hivi sh 15,000 na hakuna cha LATRA, Waziri waziri mkuu na Rais ndiyo amejificha, je tuna uongozi.

Daladala njia ya Arusha-Kikatiti nauli ilikuwa sh 1500 sahivi sh 2000, kituo kwenda kituo badala ya sh 500 sahivi sh 1000. Morombo nauli sh 500 leo sh 1000 hiyo ni nyongeza ya asilimia 100, je hapo tuna uongozi?

Sasa hivi umeme unaweza kukatwa tu bila taarifa hakuna kiongozi anaweza kutusaidia, km jioni hii kuanzia saa 12 Arumeru-Arusha mpaka sahivi bila sababu na Meneja haogopi kwani nchi haina uongozi, tuna wakati mgumu sana miaka hii 5!
Tunatawaliwa na kobaz wao dhambi tu ni kutovaa ushungi, kusema Yesu Mungu na kula kiti moto hadharani.

Al-mukheef Makebo Kubwa la Maadui Tanganian

adriz de mbusii
 
Ondoa ujinga wako hapa wewe. Hitilafu ya umeme hutokea Hata Marekani huko na Mataifa mbalimbali yaliyoendelea ni suala la kawaida hitilafu kutokea .
Wenzako wanasherehekea miaka zaidi ya 20 bila kukatika umeme, hivi huu ujinga mnautoa wapi malofa na wapumbavu halafu mnajiiya magetomen?
 
Halafu misikiti yenu yote imejengwa na ufadhili wa ufisadi, kukwepa kodi na madawa.
Halafu tunawawekea wagalatia bomba la maji ya bure nje ya msikiti, roho zenu kwatu,
kwisha habari yenu
 
Tarehe 01 May LATRA ilitangaza nauli mpya ila wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea kuanzia 50%, mfano Arusha-Babati nauli ilikuwa sh 10,000 sasa hivi sh 15,000 na hakuna cha LATRA, Waziri waziri mkuu na Rais ndiyo amejificha, je tuna uongozi.

Daladala njia ya Arusha-Kikatiti nauli ilikuwa sh 1500 sahivi sh 2000, kituo kwenda kituo badala ya sh 500 sahivi sh 1000. Morombo nauli sh 500 leo sh 1000 hiyo ni nyongeza ya asilimia 100, je hapo tuna uongozi?

Sasa hivi umeme unaweza kukatwa tu bila taarifa hakuna kiongozi anaweza kutusaidia, km jioni hii kuanzia saa 12 Arumeru-Arusha mpaka sahivi bila sababu na Meneja haogopi kwani nchi haina uongozi, tuna wakati mgumu sana miaka hii 5!
Nchi iko chini ya jeshi la polisi huko ni nguvu tu akili hakunaga
 
Back
Top Bottom