nilposti thread wiki iliyopita yenye klichwa cha habari ; ''HIVI WANAWAKE WOTE MNAJIUZA?'' Nilileta post ile kutokana na tabia ambayo sasa imeota mizizi hapa kwetu tanzania na afrika kwa ujumla, kwamba wananwake wa kiafrica kwa mapenzi yanajengwa na fedha kutoka upande mmoja wa wabia wa huo muhusiano yaani mwanaume (yaani upande mmoja una jukumu la kutoa na mwingine kupokea) . jambo hili ndilo hasa limezua tatizo kubwa barani Africa linaloitwa MFUMO DUME. Kwamba kijana wa kiume ametoa mahari, atagharamia makazi, mavazi,chakula na kila kitu inachohusiana na huo uhusiano. Jambo hili linasababisha mume kujiona mtawala na mke kukubali kutawaliwa. Ndiyo, kanuni za fedha ziko hivyo. ANAYECHNGIA HISA NYINGI KWENYE KAMPUNI YA SHEA LAZIMA AWE NA NGUVU KATIKA MAAMUZI PIA. Huwezi kuwa na mchango wa 5% kwenye kwenye ushirika halafu kwenye maamuzi uwe na nguvu sawa na aliyechangia 95%, tha is unfair. tunapoanza mahusiano wote wawili tunakuwa sawa 50% kw 50%,. siku chache baada ya hapo mwanamke ataanza kum beep mwanaume, ataanza oh! babby nina shida na 200000, wakienda gest, gharama za gest, chakula, vinywaji, usafiri,burudani (mfano mmeeenda club au popote panapolipiwa) zibaki kwa mwanaume na zaidi ya hapo bado eti mwanaume anatakiwa kumpa fedha nyingine mwanamke, hapa ndipo penye tatizo. Mwanaume anapoanza peke yake kuingia hizo gharama ambazo manamke haingii automatically ananunua hisa za huyo mwanamke taratibu taratibu mume anaanza kupata nguvu ya kimaamuzi. baada ya muda wanaingi kwenye ndoa utaratibu huo unaendelea matokeo yake yanakuwa ni mahusiano kati ya mtawala na mtawaliwa. hayawi mapenzi ya kweli. ndiyo maana hata kwenye mgao wa kifamilia wanawake hampewi au mnapewa mgao kiduchu kwa sababu hamtarajiwi kutoa ila kupokea kinyume na wenzenu. kwa hiyo kuwagawa sawa na wanaume inakuwa sio usawa maana utapewa na mume wako.
USHAULI; wanawake acheni ubinafsi badilikeni . iko hivi tunapoingi kwenye mahusiano haya ya kawaida ambayo msingi wake ni kugegedana au ndoa sisi wote ni wabia na tuna wajibu wa kila mmoja wetu kuchangia kwa kadri ya uwezo wake chochote kwenye huo uhusiano kwa kuw uhusiano huo ni wetu sote. ni wajibu wako kama ulivyo wajibu wa mwanaume kumpa zawadi mpenzi wako, kulipia gest, kutoa nauli, kununua chakula, vinywaji, kulipia burudani na hata baada ya kugegedwa kutoa ''asante''( pesa) kwa wapenzi wenu kinyume na hapo kwangu mimi hamna tofauti na wale wa mitaani na pengine bora wao kwa kuwa unapokwenda unajua kuwa hii ni biashara kwa maana unaweza hata ukabageni.
Lengo ni kuyafanya mahusiano kuwa bora.Kumfanya mwanaume akupende,asikuchukulie unamchuna. na zaidi unatengeneza cv nzuri. mtu anaona ukiwa mke wake mtashirikiana.kinyume na hapo vipondo vitaendelea. ASANTENI