Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Yani wiki moja unadhani umeijua dar es salaam?
 
Jamaa anawakilisha kundi la wabunge ambao muda huu dar hapakaliki.Wanarudi mikoani kuaanda "mazingira".
siwakilishi kundi lolote lile la watu, hususan ulowataja wewe, ispokua naongozana, naandamana na kuambatana na wale wanaohitaji maendeleo ya kweli kiuchumi kijamii na kisiasa na walio tayari kuungana nami katika kuinuana...
 
Dsm ni miongoni mwa miji ya hovyo kabisa kwa binadamu kuishi.
It's among of the most dirtiest & unplanned towns in Africa.

Kuna msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya huko miaka ya nyuma aliwahi kuimba wimbo wake aliouita kwa jina la 'Mwanza ni Jiji au ZIZI ??? The same applies to Dsm.
 
Labda huko Mkoani kwenu Orkesment ndio kunafanya unawaza maisha ya Dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
inaweza kua kweli kwa mtazamo na maoni yako,
hata kuna msanii mwingine aliimba lakini, yeye alienda mbali zaidi kwa kusema Yuko Bongo kwa bahati mbaya tu...

hizo zote ni nadharia tu hususan kwa waliokosea ai kushindwa kukabkiliana na hali maisha ya maeneo hayo...

kwa mfano kuna mwingine anaweza kua na mawazo kama yako na kua na nadharia kama hiyohiyo akiisemea Njombe, Tanga, Shinyanga au Arusha kwamba ni chafu au haikupangwa vyema,

anasahau kwamba anawajibika kurekebisha au kuchochea hali nzuri zaidi kama anavyotamani...

kwa pamoja, tunaweza kubadili mazingira na hali ya maisha tunamoishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…