toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,632
Ukweli mchungu utabaki kuwa Magufuli alikuwa shujaa na Rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika.
Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.
Haitokaa ije kutokea tukapata Rais mchapakazi kama yule kile chuma kingekuwepo hadi sasa tungekuwa tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau.
Angekuwa ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme.
SGR ingekuwa tulishafiri zamani mpaka Dodoma na Singida sasa ungekuta amalizia kipande cha Kigoma na Mwanza.
Jiulize aliwezaje umeme ulikuwa umeimarika sana hapa nchini hakukuwa na mambo mengi.
Nauli ungekuta hazijapanda hivi.
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahisi sana.
Angekuwepo tungekuwa na miradi ya kimkakati mingi sana.
Angekuwepo sasa hivi tungekuwa na mambo ya afya bure baada ya elimu bure.
Tusingekuwa na changamoto za kutisha kabisa Lakini mrithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatilia utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende ni kama huyu mama ametugaya kweri.
Magufuri atabaki kuwa rais bora kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu alikua chuma, jemedari, na mzarendo kweri kweri kipindi cha JPM hakukua na mambo ya hovyo, kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.
Ushawaza JPM hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kile kilikuwa chuma cha reli.