Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

Ukweri mchungu utabaki kuwa magufuri alikua shujaa na rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa.

Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.

Haitokaa ije kutokea tukapata rais mchapakazi kama yule kire chuma kingekuwepo hadi sasa tungekua tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau

Angekua ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme

Sgr ingekua tulishafiri zamani mpaka dodoma na Singida sasahv ungekuta amarizia kipande cha Kigoma na Mwanza

Jiulize aliwezaje umeme ulikua umeimarika sana hapa nchini hakukua na mambo mengi

Nauri ungekuta hazijapanda hivi
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahis sana
Angekuwepo tungekua na miladi ya kimkakati mingi sana
Angekuwepo sahv tungekua na mambo ya afya bure baada ya elimu bure
Tusingekua na changamoto za kutisha kabisa Lakini mlithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatiria utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende ni kama huyu mama ametugaya kweri

Magufuri atabaki kuwa rais bola kuwahi kutokea katika histolia ya nchi yetu alikua chuma,jemedali na mzarendo kweri kweri kipindi cha jpm hakukua na mambo ya hovyo,kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.
Ushawaza jpm hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kire kirikua chuma cha reli

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Magufuli angekuwa hadi leo hii tungekua mbali sana.
1. Shida za umeme tulishasahau unit moja ya umeme ingekua inauzwa 50 au 30

2. Tulishamaliza bwawa kitambo na tulishasahau na sahivi labda tuna miradi mingine ya umeme.

3. Tanzania ingekua kinara wa kuuza umeme nje.
4. Shida za maji hazipo
5. Tungekuwa na bima ya afya kwa kila mtu kwa wote au huduma ya afya bure.

6. Sahivi angekua ashakamilisha miradi mingi kwahiyo angekua ashaanza kumwaga ajira na kupandisha mishahara kedekede.

7. Mafuta yangekua chee na nauli zingekua chini.
8. Tanzania ingekua bora Afrika na duniani kwa mambo mengi.
9. Sahivi kila mahali ungeona barabara nyingi sana
10. Majambazi, wahuni, wahujumu uchumi, wazee wa unanijua mimi ni nani tungekuwa tunasoma tu hadithi zao kuwa waliwahi kuwepo.

Kingine ongezea hapo

11?
12?
Daaaa! JPM, kila nikiona jinamizi la sasa nabaki kulia. Umetuachia mateso Rais wetu
 
Ukweri mchungu utabaki kuwa magufuri alikua shujaa na rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa.

Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.

Haitokaa ije kutokea tukapata rais mchapakazi kama yule kire chuma kingekuwepo hadi sasa tungekua tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau

Angekua ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme

Sgr ingekua tulishafiri zamani mpaka dodoma na Singida sasahv ungekuta amarizia kipande cha Kigoma na Mwanza

Jiulize aliwezaje umeme ulikua umeimarika sana hapa nchini hakukua na mambo mengi

Nauri ungekuta hazijapanda hivi
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahis sana
Angekuwepo tungekua na miladi ya kimkakati mingi sana
Angekuwepo sahv tungekua na mambo ya afya bure baada ya elimu bure
Tusingekua na changamoto za kutisha kabisa Lakini mlithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatiria utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende ni kama huyu mama ametugaya kweri

Magufuri atabaki kuwa rais bola kuwahi kutokea katika histolia ya nchi yetu alikua chuma,jemedali na mzarendo kweri kweri kipindi cha jpm hakukua na mambo ya hovyo,kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.
Ushawaza jpm hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kire kirikua chuma cha reli
Wema hawana maisha!
 
Kwenye suala la tanesco ni tatiźo haswaa tangu Magu aondoke, tuone huo mtambo wao wa majaribio kama nikweli tatizo litaisha itakua jambo la kheri
Si maji yatakuwa yanazidi kipimo? Maana mvua nyingi zinajaza matope na kuleta mafuriko. Badae tena,kiangazi,maji yatakuwa yanapungua sana,hicyo machine hazitapata maji ya kutosha kuzalisha umeme.
 
Miundo mbinu ingekuwa mizuri tatizo lingekuwa kwenye utengano kitaifa maana alikuwa ni mkabila hasa.Mwisho ni kuchapana na ile miundombinu yote ingekuwa useless.
 
Back
Top Bottom