Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

Mkuu mbona hata huko itv na eatv tatizo la kuganda lipo?????

Itabidi tubanane humu humu na bdo uchanguzi mkuu tutashuhudia mengi dstv nacho kama pambo tu hapa hom malipo yao wanisamehe mim siyo mtu wa kuangalia sana tv imenibid nichukue azam tv
 
VP kuhusu king'amuzi cha Zuku? ITV na Chanel 5 hazisumbui?
 
Mkuu mbona hata huko itv na eatv tatizo la kuganda lipo?????

Lile tatizo wamesha li solve tayar
Itabidi tubanane humu humu na bdo uchanguzi mkuu tutashuhudia mengi dstv nacho kama pambo tu hapa hom malipo yao wanisamehe mim siyo mtu wa kuangalia sana tv imenibid nichukue azam tv
 
Hata Arusha kuna wakati ITV, EATV na STARTV zilikuwa hazionekani kabisa kupitia king'amuzi cha STARTIMES. Wakasema mitambo yao ilikuwa na tatizo kidogo, ajabu TBCCM ilikuwa inaonekana vizuri kabisa sema huwezi angalia habari za propaganda!!!
 
TBC ina hisa za kumwaga STARTIMES kwahiyo haishangazi sana kwa yanayotokea, sema huu ni ushamba na kushindwa kiushindani
 
mbona startimes wanapitisha maandishi kwenye screen wakiweka wazi tatizo ni nini?? hayo maandishi yanasema 'KUNA MUINGILIANO KWENYE CHANNELS ZA ITV NA EATV NA WAMESHAWAAMBIA TCRA WATATUE HILO TATIZO KWANI LIKO NJE YA UWEZO WAO' sidhani kama kuna hujuma hapo.
 
Mkuu baada ya kuona Uzi huu Jana ilibidi niangalie taarifa ya habari ya ITV kupitia star times ikawa inakwamakwama ila now asubuhi iko fresh kabisa.
Kwahiyo hayo maingiliano ya mawimbi yanakuwepo jioni na usiku tu
 
...waambie waitoe kwenye liking'amuzi lao kama hawajayakuta jalalani bhahhaaaaaaa.....
 
mbona huku Morogoro hakina shida ITV tunaipata vizuri tu
 
Ni namna tu yakusetisha mawimbi..so wanaweza tibua ya dsm bt sehemu zingine zikawa safi,

Note.
 
Mkuu baada ya kuona Uzi huu Jana ilibidi niangalie taarifa ya habari ya ITV kupitia star times ikawa inakwamakwama ila now asubuhi iko fresh kabisa.
Kwahiyo hayo maingiliano ya mawimbi yanakuwepo jioni na usiku tu

ni kweli inasumbua sana haitazamiki...ila startimes wanasema wamewataarifu TCRA watatue hio issue iko nje ya uwezo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…