Atakapoendeleza atakutana nacho huko! No need to dirt ur handswasipojitokeza inamaana hatofunzwa ataendelea na ujinga wake walai mim mtu akinifanyia ujinga na akaja kwangu lazima nimchijie kuku ale atoke ameshiba
hivi ujuw unaweza kupotezewa muda, nguvu na akili yako na watu wajinga unashidwaje kupoteza masaa 2 kwaajili ya kisasi?Muda wako una thamani gani? Kisasi ni kazi ya maskini.
Unapotezewa vipi kama una akili timamu?hivi ujuw unaweza kupotezewa muda, nguvu na akili yako na watu wajinga unashidwaje kupoteza masaa 2 kwaajili ya kisasi?
daah kwahy sisi tunaopotezewa muda tuna akili nusuUnapotezewa vipi kama una akili timamu?
Siafiki sana katika dhana hiyo. Ni kweli Kisasi ni haki lakini:nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya.
mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa.
I'm out
#Kisasi ni haki.
naunga mkono hoja. Uoga, unyonge na kukosa ujasiri ndo kunawafanya watu wanasamehe Ila kumuacha mtu aliekuletea maumivu sio vizuri kabisaNasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya
Mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa
I'm out
Kisasi ni haki
GoodKusamehe si ujinga, na kulipiza kisasi si ujasiri. Mtu akikufanyia umafia, usiwe mwepesi wa kusahau wala mwepesi wa kulipiza. Mueleweshe kwa vitendo kwamba amevuka mipaka kwa kutumia akili, ushahidi na njia sahihi. Wakati mwingine kumdhibiti mtu ni kumuweka kwenye matokeo ya matendo yake, si kumuumiza.
Kupanga ni kuchagua..
Ukikua utastarabika.Wala hapew airtime ni mtego tu unasetiwa akijaa tu ni milio
Usikubali kwa mnyonge dhidi ya mtesi wako Dunia haitaki watu dhaifu
Kisasi ni haki😁
Basi wewe endelea kulipiza visasi.Sio kweli
kusamehe ni weakness umekubali kuwa mnyonge dhidi ya mtesi wako