Kusamehe ni Udhaifu

Wala hapew airtime ni mtego tu unasetiwa akijaa tu ni milio

Usikubali kwa mnyonge dhidi ya mtesi wako Dunia haitaki watu dhaifu

Kisasi ni haki😁
Human brain's performance ever since the world was created is approximately 10%.
Endelea kukaza fuvu kuwa kusamehe ni udhaifu ilihali binadamu mwenyewe tu ni dhaifu kiuumbwaji.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Na amekufanyia hivyo kwa kukusudia huku akijidai kuwa lile lishamba nimelipiga wakati wewe sio Mshamba Bali umezingatia Bussness partnership na uaminifu tu
Jasho la mtu (mali), mke/mume wa mtu ndivyo huwa ni vigumu sana binadamu kusamehe, vinginevyo ni sawa na kujilisha upepo tu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Human brain performance ever since the world was created is approximately 10%.
Endelea kukaza fuvu kuwa kusamehe ni udhaifu ilihali binadamu mwenyewe tu ni dhaifu kiuumbwaji.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kisasi ni haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…