my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #21
usisemee nafsi za watu wengine.. kwanza habari yako
nzur sana
usisemee nafsi za watu wengine.. kwanza habari yako
sisalimii. km nikiagizwa naongea nlichoagizwa na stori za wakat huo naondoka
Kwa maana hiyo wazazi wako walikufundisha unafiki, siyo?nlifundishwa kusalimia watu na wazaz wakat npo mdogo sana ss hv naona aina maana. ni unafik. km jbu naljua why nsalimie?
Kwa upande wangu naona kama salamu ni unafiki. Kwa sababu mtu anakuuliza mfano "Habari yako?" Lakini kichwani tayari anakua na jibu ambalo anajua atalisikia kutoka kwako, ambalo ni 'nzuri' au 'salama'.
Kama salamu ni kujuliana hali kwa nini watu tunakua na majibu yetu kichwani? Au kwanini hatusemi hali ambayo tupo wakati huo? Kutoleana salam ni unafikI kwasababu ukweli anaeuliza hataki kujua hali yako kutokea moyoni na anaeulizwa hataki kueleza hali yake aliokuwa nayo wakati huo.
Sisi binadam wanafiki sana ndiyo maana mi sisalimii mtu kwasabab najua utaniongopea tu na kabla cjakusalimu najua tayar hal yko ni nzur. salam aina maana.
usisemee nafsi za watu wengine.. kwanza habari yako
Mbona umejibu mkuu nilitegemea uMUTE maana ni unafiki:lock1:nzur sana
Salamu ndio mwanzo wa kufahamiana.
Habari yako kwanza halaf ndo tujadili hii thread yako,