Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Itabidi JF iandae utaratibu kwamba kila anayeanzisha thread humu inabidi awe na angalau ka degree
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji100]
Itabidi JF iandae utaratibu kwamba kila anayeanzisha thread humu inabidi awe na angalau ka degree
Sio rahisi kitu kama hicho. Najamaa Apa anawanyima rizki vijana wengine watiifu wanaoangaika juani kwa uzembe wake.Kuwen macho sana hao watu c wazuri ha kidogo kuna code wanazoweka namba ya siri yako inakuwa wazi na namba ya siri hiyo yako wanakwenda ATM wanazitumbukiza kisha wanachukuwa mzigo kiulainiii
Well saidSijaelewa bado mamntiki ya wakosoaji kwa mtoa mada
Sio rahisi kitu kama hicho. Najamaa Apa anawanyima rizki vijana wengine watiifu wanaoangaika juani kwa uzembe wake.
Akuna MTU anaweza amisha pesa yako bila kujua Nywila yako. Inawezekana jamaa aliwatajia password yake ile ile ili waike kwenye chip mpya yani awe na laine 2 zenye passwlrd 1,ndo madogo wakafanya yao, au walimtamanisha kitu Jamaa akaingia mkenge Ila kusema ukweli kua aliingizwa mkenge anashindwa.
Muhimu:
Namba ya siri ni siri yako, usimpe au kumwonyesha yoyote. Ata ukienda kutoa fedha toa mwenyewe.
Neno kubwa sana hill, kuna maeneo ukimwita Mtu hivyo unamsababishia kifo.Acheni wizi mtaishia kuchomwa moto.