Kusajili laini za simu mtaani ni hatari, hatari kabisa

Kusajili laini za simu mtaani ni hatari, hatari kabisa

leo imetia fora nikawanajiuliza labda ndio mapinduzi yenyewe. kuna aliyeandika kichwa cha habari maneno takribani 11 kisha habari yenyewe NIMEMALIZA. (ilihusu aic shinyanga.....)
 
Samahan jf hiyo thread kidole kilikosea kuposte kabla ya kumaliza waweza kuisoma vizuri sasa mmecoment kabla sijamaliza
 
acheni roho za korosho, mimi nimemwelewa... kuna utapeli ktk mitandao ya simu ila kama utakuwa unampa simu wakala au yeyote yule anakufanyia kila kitu hadi vocha anakuwekea kama ilivomtokea huyu mleta sredi
 
Badala ya kumpongeza kwa kuwasanua mnamponda haya mkuu somo limewafikia
 
Mkuu mi nimekuelewa, pole sana pia ahsante kwa kututahadharisha na wizi wa style hiyo.
 
Hiyo thread kidole kiliruka wakati naandika ikajiposte kabla ya hitimisho jf wakacomment bila kujua mwisho wake wanaweza soma upya kwa faida yao
 
Back
Top Bottom