hahahha ile ilikuwa imezumu font size sasa wapo watu ambao wanazoom maneno, kwa mfano tetemeko la jana Mwanza unakuta mtu anazumu maneno, mara ooooh! wamekufa 20 mara hivi mara vile huko ndio kuzoom maneno, kuyakuza hahahahahhaShemeji ukiona hivyo ujue uko kichwani mwangu sana.
Nilikuwa naipenda kwa sababu yenyewe imezoom halafu inakataza kuzoom
hahahha ile ilikuwa imezumu font size sasa wapo watu ambao wanazoom maneno, kwa mfano tetemeko la jana Mwanza unakuta mtu anazumu maneno, mara ooooh! wamekufa 20 mara hivi mara vile huko ndio kuzoom maneno, kuyakuza hahahahahha
Hapa mjini hakuna madhara, ila kama ulivyosikia wilayani Misungwi ndio alifariki WP Coplo Joyce kwa mshtuko, tena maskini ndio jana hiyo hiyo ameripoti kazini alikuwa likizo ya uzazi kaacha katoto kachangaaaa!!!!!Dah, kumbe lile lilikuwa ni neno la fasihi, basi mimi nilikuwa naiwaza siielewi.
Afadhali umenielewesha aisee, vipi kwanza umepona tetemeko? Maana sikuona popote ukilizungumzia.
Hapa mjini hakuna madhara, ila kama ulivyosikia wilayani Misungwi ndio alifariki WP Coplo Joyce kwa mshtuko, tena maskini ndio jana hiyo hiyo ameripoti kazini alikuwa likizo ya uzazi kaacha katoto kachangaaaa!!!!!
Huo msiba unaratibiwa na Jeshi la Polisi pamoja na familia ya marehemuFah, aisee poleni.
Kama kuna rambi rambi nawashauri mzitume moja kwa moja mwathirika, maana serikali haichelewi kujengea miundombinu.
Huo msiba unaratibiwa na Jeshi la Polisi pamoja na familia ya marehemu
Hujui kwamba Bongo taarifa halisi za idadi ya watu huwa zinafichwa? Hiyo mijikaunta buku huwa inaniboa sana haiko kisasa bali ni usumbufu tu usio na msaada wowote wa kiusalamaMfano kikitokea cha kutokea labda jengo likalipuka, inakuwa rahisi kujua nani na nani walikuwa ndani na hivyo ndugu wa waathirika kupata habari.
Hujui kwamba Bongo taarifa halisi za idadi ya watu huwa zinafichwa? Hiyo mijikaunta buku huwa inaniboa sana haiko kisasa bali ni usumbufu tu usio na msaada wowote wa kiusalama
Kuwe na electronic devices kama CCTV Camera ziwekwe ktk maeneo tofauti tofauti ambazo zinarekodi kila kitu na wanaweza kuzitumia kufanya surveillance iwapo tukio limetokeaSawa, mimi niliwaza hivyo.
Unashauri nini kifanyike?
Kuwe na electronic devices kama CCTV Camera ziwekwe ktk maeneo tofauti tofauti ambazo zinarekodi kila kitu na wanaweza kuzitumia kufanya surveillance iwapo tukio limetokea
hakika umenena vemaKuwe na electronic devices kama CCTV Camera ziwekwe ktk maeneo tofauti tofauti ambazo zinarekodi kila kitu na wanaweza kuzitumia kufanya surveillance iwapo tukio limetokea
Mkuu, utaratibu wa kusaini ni utaratibu mwema na wenye manufaa makubwa. Katika mahakama zetu, yupo mtu aliwahi kukwepa kitanzi kwa daftari kama hilo tu kuwasilishwa mahakamani. Alionekana alikuwa mbali na tukio wakati likitokea
Twin,Hii ndio sababu kuu, kuna kesi kama hii niliwahi kuisikia kuanzia hapo bilianza urafiki na haya "makauntabuku" tena naandikaga kwa herufi kubwa na usahihi kabisa. Ni ushahidi mzuri sana...
Ni kuweka kumbukumbu tu kuwa nani alifika maeneo husika ,inapotokea jambo inakuwa ni rahisi kubaini ukweli.......alaf umeona ile lami iliyojengwa pale ni kiwango duni sijapata kuona utadhani siyo wilayani....
Si hapo wilayani Ilemela...au hujapaona....?Wapi hapo ndugu kunajengwa lami kiwango duni?
Si hapo wilayani Ilemela...au hujapaona....?
Unaongelea ile lami ya kwenda Manispaa ya Ilemela sio?! Ile bado wanaendelea na ujenzi haijaisha ndio maana gari zinachepukia pembeni.Ni kuweka kumbukumbu tu kuwa nani alifika maeneo husika ,inapotokea jambo inakuwa ni rahisi kubaini ukweli.......alaf umeona ile lami iliyojengwa pale ni kiwango duni sijapata kuona utadhani siyo wilayani....