Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Ngoja ntakujibu.JF huwa tunashirikishana maujuzi, mie nimiliona hilo kwa mabaya, naomba na wewe Tajirimsomi unisaidie mazuri yake. Natanguliza shukrani zangu za dhati, wako mtiifu, CHIKIRA MTABARI
Angalia usije ukaonekana umeuliza swali la kichokozi na kichochezi halafu ukamwaga unga, hahahahahaha. nakutakia siku njema mwayaNgoja ntakujibu.
Eneo ulilolitaja ndo kibaruani kwangu ngoja niwaulize wakuu wangu uo utaratibu una faida gani
Nimekuelewa vizuri Erickford4, kumbe utaratibu huu ni kwa faida ya wateja wa nje wanaotembelea ofisi zile, sasa vipi kwa upande wa usalama wa watumishi na mali za ofisi ile. Si umeshasikia ile story kwamba kuna majambazi yalienda ofisi Fulani yana silaha yakaingia ndani yakamteka mtunza fedha awapatie fedha zote zilizokuwa kwenye kasiki!
Ahsante mkuu, sasa umenielewesha mubashara kuwa "kauntabuku" zile ni kwa ajili ya kumbukumbu za ofisi na si vinginevyo. Nakushukuru sana Erickford4. BarikiwaKuhusu hayo majambazi hilo ni suala lingine halihusiani kabisa na hilo daftari kuna baadhi ya ofisi au vituo vya polisi wanakuandikia SIMAMA UKAGULIWE.
Na ukisimama hapo wanakukagua aidha kwa mashine (kama ipo) au kwa kukupapasa lakini suala la kuandika kumbukumbu zako kwenye daftari lipo palepale..
Kwa hiyo suala la daftari la kumbukumbu na tukio la ujambazi haviendani mkuu.
Tatizo gani kwa mfano? Na Je kama katoa details za uongo?Mkuu ujue kitechnolojia bado tupo nyuma sana hatuna vifaa na watumiaji wa vifaa hawapo, huu utaratibu unamsaidia mlinzi pindi likitokea tatizo, vumilia tu mkuu bado sisi ni ulimwengu wa tatu.
Muhuni anazuiwa kwa kuandika kwenye kitabuPunguza hasira best, huo ndio utaratibu WA ofisi ili kupunguza punguza wahuni na vibaka kuingia hovyo maofisini
Kweli kabisa,na mimi nilimsikia kwamba siku hiyo alikuwa NECTA.Mkuu, utaratibu wa kusaini ni utaratibu mwema na wenye manufaa makubwa. Katika mahakama zetu, yupo mtu aliwahi kukwepa kitanzi kwa daftari kama hilo tu kuwasilishwa mahakamani. Alionekana alikuwa mbali na tukio wakati likitokea
Soma uelewe nilijibu kwa mtoa mada.Tatizo gani kwa mfano? Na Je kama katoa details za uongo?
Kama wameandika majina sahihi na kwa muandiko unaosomeka.Mfano kikitokea cha kutokea labda jengo likalipuka, inakuwa rahisi kujua nani na nani walikuwa ndani na hivyo ndugu wa waathirika kupata habari.
Technoloji gani? Ya metal detectors?sema sisi wabongo ni mtihani tu.Mkuu ujue kitechnolojia bado tupo nyuma sana
Okey Nape NauyeTechnoloji gani? Ya metal detectors?sema sisi wabongo ni mtihani tu.
Ahsante mkuu, sasa umenielewesha mubashara kuwa "kauntabuku" zile ni kwa ajili ya kumbukumbu za ofisi na si vinginevyo. Nakushukuru sana Erickford4. Barikiwa
Amina kubwaU'r welcome.. nawe pia ubarikiwe
Mkuu, utaratibu wa kusaini ni utaratibu mwema na wenye manufaa makubwa. Katika mahakama zetu, yupo mtu aliwahi kukwepa kitanzi kwa daftari kama hilo tu kuwasilishwa mahakamani. Alionekana alikuwa mbali na tukio wakati likitokea
Tatizo watanzania wengi hasa wakina baba hawakipendi kale kadude ka "kupapasa" wanasema kana mionz ambayo INA athari, ya kupunguza nguvu ya kusaka "watoto"Kwani huyo kibaka na mhuni anashindwa kusaini kwenye hiyo kaunta buku na kwenda kufanya yake?! ndio maana nikasema hivi huo utaratibu hauna tija. Hizi halmashauri nilizozitaja wajitahidi wanunue kale "kadude ka kupapasa mtu" akiingia pale getini